Ubaya ubwelaI salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.
Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.
Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.
Jipangeni ndugu zangu
Kwahiyo wewe unadhani kufuzu wanafuzu jf?Anadhani kaangalia mwenyewe, vile viwango vya kawaida tu,nilivyoangalia Simba na Bravo wakicheza karata zao vizuri ndo watafuzu kwenye hili kundi
Viwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.Kwenye mpira hakuna kusogezana chupi tunacheza kutafuta magoli,kuvuana vyupi itakuwa michezo yenu huko Avic Town ndo maana viwango vimeshuka
Simba aamewahi kuongoza kundi mbele ya ahly au unajisahaulisha?Ndiyo shida yenu hamtakagi kuambiwa ukweli
Sasa yanga wao wako vizuri sana unadhani yanga angecheza na wachovu mliocheza nao si hao waangola wangetandikwa hata 6?
Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe
Halafu sasa sisi tulishapangwa mpaka kundi moja na ahly ahly na bado tukatoboa kumbuka mechi ya kwanza na CRB walitufunga tena 3 kwao kule .
Simba msimu huu ya kinyonge sana msije aema sikuwaambia
Walicheza vizuri ila kukamiana kulikuwa kwingi na viatu vingi sana lakini wapo vizuri ssnaMoto gani... mechi tumeangalia ni papatupapatu tu
Ndio maana nasema huna akili, Simba alicheza na Al ahly 2019 alikufa Al ahly kwa Mkapa2021 pia alikufa, kwenye AFL Droo nje ndani.Simba alimfunga ahly ahly mara moja tu CAf champions league hapo kwa mkapa bao 1-0 enzi za pitso mosimane..
Huko AFL mlitoa draw dar afu kule Cairo mkagongwa
Na CAF pia msimu ule yanga robo aliipangwa na mamelodi na simba alipangwa na ahl ahly mkagongwa tena .
Kama kuna zingine taja hebu fuatilia sawa?
Mechi haijacheza unakaza fuvu ya nini?kama mwanarabu anaweza kumfunga Simba inashindikana nini Simba kumfunga mwarabu?Viwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.
Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?
Akili mtu wangu

Halafu akaishia wapi?Simba aamewahi kuongoza kundi mbele ya ahly au unajisahaulisha?
Kibu anagoli kwenye shirikishoViwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.
Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?
Akili mtu wangu
Leo sisikii wakimtaja Kocha na pira Germany π€£π€£π€£Utopwix de la coruna el sportif akijifariji.
Simba hawezi kumfunga fc constantine sababu ni team ya kichovu kuwafunga waarabu .Mechi haijacheza unakaza fuvu ya nini?kama mwanarabu anaweza kumfunga Simba inashindikana nini Simba kumfunga mwarabu?
Kwani na al ahly tripoli ilikuwaje ?Kwahiyo wewe unadhani kufuzu wanafuzu jf?
Yaani watu wakuaminj wewe kama nani?
Simba atagongwa na waarabu wake nje ndani acheni kujifariji uwezo mdogo sana
Eti Bravos! Nayo ni team kweli?
Ni wakali kuliko Al Ahly ya Misri?I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.
Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.
Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.
Jipangeni ndugu zangu
Tunazungumzia ligi huko shirikisho hata pamba jiji wangeshiriki wangeongoza kundi .Kibu anagoli kwenye shirikisho
Tripoli mlisema hivyo hivyo sijui mabululuSimba hawezi kumfunga fc constantine sababu ni team ya kichovu kuwafunga waarabu .
Sasa unaleta ngonjera unadhani wale ni pamba jiji?
Acha utoto sawa
Tutaongeza nguvu dirisha dogo kwa kumsajili Dube πππViwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.
Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?
Akili mtu wangu
Dube ana ngapi ?Tunazungumzia ligi huko shirikisho hata pamba jiji wangeshiriki wangeongoza kundi .
Ligi tu kafikisha mwaka hajafunga goli mpaka mabeki wanamzidi
Kwani Kibu anacheza mwenyewe mbona wengine wanafunga, je nye mechi 3 mfululizo hamjashinda tusemaje? Mwaka huu hakuna kudunga sindano mtafululiza kupoteza back to back hadi game 6Viwango vimeshuka kwa na pia yanga hii bii iliyowagonga miaka karibu minne.
Yaani mashabiki wa Simba huwa mna utoto sana .
Kibu ametimiza mwaka hajafunga je kiwango chake kimepanda eeh?
Akili mtu wangu
Ahly ahly hachezagi shirikisho jiheshimu we mzeeNi wakali kuliko Al Ahly ya Misri?