Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Hao ni machadema tuu!!!Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
Then hata akiwataj hatua gan watachukuliwa na naaan wa kuwachukulia hatua? Mfumo wa kifisadi hakuna wa kumkamata mwingine!!!Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Haya siyo majungu. Ni Tanzania tu hakuna investigative journalism, lakini kuna uchafu mwingi sana unaofanywa sasa hivi. Huyu mama hafai hata kwa dawa.Kama hamuwataji hao viongozi fungeni midomo yenu
Acheni ujinga kuleta majungu yasiyo na maana
Akishasema ili iweje wakati wananchi wamelele fofofo? Hivi unadhani rais hajui haya? Hili ni genge linaloongozwa na rais hivyo wabunge na viongozi wengine wa chini ni vigumu sana kufanya lolote bila support ya wananchi.Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.