Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?

View: https://www.youtube.com/watch?v=LXOPLm_MNZU
 
Attachments

  • IMG-20240114-WA0078.jpg
    IMG-20240114-WA0078.jpg
    78.3 KB · Views: 7
  • IMG-20240114-WA0142.jpg
    IMG-20240114-WA0142.jpg
    47.7 KB · Views: 8
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?

Hao ni machadema tuu!!!
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Akishasema ili iweje wakati wananchi wamelele fofofo? Hivi unadhani rais hajui haya? Hili ni genge linaloongozwa na rais hivyo wabunge na viongozi wengine wa chini ni vigumu sana kufanya lolote bila support ya wananchi.
 
Back
Top Bottom