babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kwa akili yako unadhani ni nani?Nilidhani ungejikita zaidi kama kuna Waziri katika Taifa hili kanunua hiyo Nyumba kwa that amount na ionekane kama ni jambo la kawaida kabisa. Nawe unakubali iwe hivyo...
Acha uzwazwa kwenye mambo serious, CDM wana access kwenye hazina ipi?!Hao ni machadema tuu!!!
Atapoteza muda bure, wote wanafanana. Hakuna wa kumfunga paka kengeleHamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Upo sahihi, hata imani ya Kiislam humuweka mzinifu hatiani iwapo tu dhakari (uume) itakutwa ndani ya uke. Well and good, lakini kwa janja janja ya Wabongo kutaka proofs of no dought ili ndo uchukue hatua utakesha. Ndo maan mtuhumiwa hukamatwa kwanza baada ya kujirisha kuwa hana kosa huwachiwa. Na kwa mfanyakazi wa umma, ukikutwa na scandal sharti asimamishwe kwanza kupisha uchunguzi, na hapa ndo jiwe aligeuka kuwa mwamba. Unahitaji ushahidi kwa mbogo ndo umkamate ha ha ha ha labda km siyo hawa wanasiasa wa Sasa.Wacha kuleta sweeping statements za watanzania tunafahamiana.Ukileta acussations zozote basi burden of proof ipo juu yako.Hivyo ndio inavyotakiwa iwe.Tusiwe jamii ya watu inayoaamini katika kupakaziana na kuamini majungu.
Tuache assumptions kwamba itatokea nini?Leta ushahidi madhubuti halafu tutavuka hilo daraja baada ya ushahidi kuonekana.
Mambo mengine mnapoyasikia muwe mnayapa muda!! Dakika mbili tu unataka ushahidi....Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Wewe umeshamlikiwa tayari,hamis kigwangala yeye kamaliza,mengine ni juu yenu.Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Kwa hiyo wewe unataka kusemaje?!, amekosea kusema au nini malaya wewe!?Huyo nae ana wivu tu... wamempiga chini kutwa anapiga kelele kama mbuzi, kwani sisi wananchi hatujui hayo?! Tunayajua sana kwa bahati mbaya ushahidi hatuna na sisi tunasikiasikia.
Kama kweli anajiamini awataje na ushahidi wa kutosha. Yeye mwenyewe angekuwa kwenye channel bado angeiba kama hao!
Mlimkataa jpm,mtakubali tu na huo upumbavu wenu.Mazitoo hayaa[emoji24][emoji24]Napambana kulima ufuta mlimba nipate laki kumbe naibiwa Billions.Mlevi mmoja alisema Tz panauhitaji wa kiongozi Dictator positive atupeleke mbele!!
Bora aibe mtu mmoja kuliko wanavyogawana ,sasa wanafanya kushambulia kwa kasi.Mlisema Magufuli Mbaya alikua anasema nchi imeoza mkawa mnakataa..Ni kweli alikua na makosa lakini jamaa angetusaidia sana yule Hawa watu wanaiba na sasa hakuna wa kuwagusa
Hata Yericko Nyerere kamalizia pagale lake la miaka 16 Kule Mbutu Block G kigamboniNchi imefunguliwa true true sisi tusio na access ndio tunalalamika hatuna hela, hata chawa Mwinjaku anatushinda leo anamiliki kasri.
Hatarii Magu aliwakazia wanalipiziqaa...Tena kama sasa ndio shamban la bibi haswaa!
Mawaziri ndio wenye uwezo kununua maeneo kariakoo hadi mabilioni!
DPW watu wamenunua ma-appartment Masaki hadi ya USD 2 Milllioni.
Kiukweli ni wizi juu ya wizi awamu hii tena wizi wa kutisha!
Bora wafungwa maana wanamategemeo baada ya muda wao watakuwa huru, sisi ni maiti zinazotembeaKwa hoja hii ina maana Wananchi wa Tanzania ni wafungwa huru? Au ni wafungwa wanaoota wapo huru?
Watakuwa akina M.... Hao....!!Kuongea kitu kama hicho tena kutoka kwa kiongozi aliyewahi fikia level za uwaziri bila data unaita sio majungu?
Kama ana uhakika kwanini asitaje majina?
Wetu(mi &we)Mlimkataa jpm,mtakubali tu na huo upumbavu wenu.