Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.Kwani Kigoma hawalipi kodi??? Mbona hawajajengewa miondombinu bora??? Umeangalia kweli iyo documentary hapo??? Au unacomment tu kwa sababu upo Lumumba?
Kwa iyo ilo suala la kodi kutokuwa na direct impact tangu uhuru inaonekana kigoma tu??? Mbona ndani ya miaka 5 tu tumeona na kuamini kodi ina direct impact kwa Chato???Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.
Then lini unaibuka Brussels kumpa Mzee wako gwala?
Kwa hiyo nchi nzima inabarabara kasoro Kigoma tuu?Kwa iyo ilo suala la kodi kutokuwa na direct impact tangu uhuru inaonekana kigoma tu??? Mbona ndani ya miaka 5 tu tumeona na kuamini kodi ina direct impact kwa Chato???
Mie nipo Songea mzee Sina haja ya kwenda Brussels.
Kama ndio kodi inaenda kufanya Chato kuwa Beijing,basi acha iwe hivyo!Kesho unakuja kulalamika hapa barabara mbovu,mara hakuna ongezeko la mshahara wakati kwa uzembe umeacha kodi yetu imepotea.
Yaani wewe no pumba hasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?
Hiyo reli anayojenga ni kwa manufaa yake? Hela zitakuwa zinaingia kwenye account ya familia yake?
Bora ungeondoka na Lisu uende kwa Amsterdam tu
Ila huyu jamaa mbabe hasa, anafanya wizi hadharani bila woga!!!!Unajua waziri wa China na delegation yake wamelala hoteli ipi???
Unajua mawaziri na timu yote ya serikali iliyoamkia leo Chato wamelala hoteli ya nani?!
Unajua kiwanda kinachojengwa pale chato na kitakuwa kinauza samaki na bidhaa zake chato ni cha nani???
Uzuri sina akili za kimaskini ila nawafumbua tu akili zenu vilaza wa lumumba nyie.
Watanzania wanahaki ya kuhoji kwani pesa no Kodi zao. Jambo lolote linaloleta Shaka lazima lihojiwe.Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?
Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?
Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
Mbona hajengi kuielekeza mikoa ya kusini ili tuamini ni mzalendo wa nchi? Hii ni ngumu kutetea. Hata wale walioshiba propaganda kuwa jamaa ni mzalendo, kwa haya akili imewarudia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe kama ndio zezeta?
Hiyo reli anayojenga ni kwa manufaa yake? Hela zitakuwa zinaingia kwenye account ya familia yake?
Bora ungeondoka na Lisu uende kwa Amsterdam tu
Ni wapumbavu pekee ndio wenye fikira kwamba Magufuli ataweka uwekezaji wa kitu chochote kwa ajili ya familia yake.Watanzania wanahaki ya kuhoji kwani pesa no Kodi zao. Jambo lolote linaloleta Shaka lazima lihojiwe.
Maana wabunge wa kuhoji haha Sasa hivi hawapo.
Kama yasemwayo no kweli ndiyo tunapata majibu kwanini alilazimisha Sheria ya kutowashitaki wakistahafu.
Pia aliamua kuua upinzani na kufanya bunge Lowe la chama kimoja ili haramu anayoifanya asiwepo wa kuhoji
DUU! JAMAA KIBOKO!!
Sasa huuoni uzezeta wako ulipo?
Kulala wapi wewe inakuhusu nini?
Kiwanda kinajengwa kwa ajili ya watu, kimeletwa na selikali kwamba ni cha nani kwa nini usiweke document hapa kuonesha umiliki?
Sometimes wakosoaji wa Magu mnakuwa na makamasi vichwani?
Angeelekeza upande wa kusini wale wa magharibi nao wangesemaje?Mbona hajengi kuielekeza mikoa ya kusini ili tuamini ni mzalendo wa nchi? Hii ni ngumu kutetea. Hata wale walioshiba propaganda kuwa jamaa ni mzalendo, kwa haya akili imewarudia.
Taarifa zipi unazozijua wewe?Mkuu kwakuwa unaishi ikulu basi ukweli kama huu utakuwa ni mwiba mchungu sana kwako. Wale waliokuwa wanaamini kuna uzalendo wanazidi kuona picha halisi. Wamejua kudhibiti vyombo vya habari, lengo ilikuwa ni ili wakipigwa taarifa zisiwafikie.
Umepofushwa, huwezi ona lolote na hata ukiambiwa huezi amini kwakuwa macho yako ya ndani na ufahamu wako umeondolewa.Ni wapumbavu pekee ndio wenye fikira kwamba Magufuli ataweka uwekezaji wa kitu chochote kwa ajili ya familia yake.
Narudia ni wapumbavu pekee ndio watafikiri Magufuli atamtoa waziri mkuu toka china aje afadhili kiwanda cha Magufuli kwa mgongo wa nchi
Wewe huoni Kila kitu huko?Angeelekeza upande wa kusini wale wa magharibi nao wangesemaje?
Huko anakojenga hawaishi watz ila wanaishi wajapan?
Lissu ndio raisi ajaye
Mwaka huu hatutakubali kuibiwa kura
Tukiibiwa tunaingia barabarani
Kuanzia tarehe 2/11 kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo.
Tunaenda ICC
Unaweza kujiona una ufahamu kumbe zoba tu na hii yote ni kutokana na chuki kwa mtu anaeongoza hata ukigongewa wife wako utamlaumu anaekuongoza. Ndio akili zenu zilivyo.Umepofushwa, huwezi ona lolote na hata ukiambiwa huezi amini kwakuwa macho yako ya ndani na ufahamu wako umeondolewa.
Huenda unamaslahi hapo
Kila kitu huko kama kipi na kipi? Au wewe kwa pendekezo lako ulitaka akaweke wapi?Wewe huoni Kila kitu huko?
Umepata Moto mkuu, jimwagie maji kupunguza joto. Akili zitarudi utaelewa tunachokwambiaUnaweza kujiona una ufahamu kumbe zoba tu na hii yote ni kutokana na chuki kwa mtu anaeongoza hata ukigongewa wife wako utamlaumu anaekuongoza. Ndio akili zenu zilivyo.
Usifikiri mimi ni mjinga kwamba nashangilia kila kitu hapana. Lakini ukosoaji wa kijinga kisa anaefanya humpendi huo ni upumbavu.
Huvioni, au ndiyo upofu wa shine?Kila kitu huko kama kipi na kipi? Au wewe kwa pendekezo lako ulitaka akaweke wapi?
Ni wapumbavu pekee ndio wenye fikira kwamba Magufuli ataweka uwekezaji wa kitu chochote kwa ajili ya familia yake.
Narudia ni wapumbavu pekee ndio watafikiri Magufuli atamtoa waziri mkuu toka china aje afadhili kiwanda cha Magufuli kwa mgongo wa nchi