Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #121
Nmekuliza hayo aliyofanya magufuli huko chato ni ya kwake?
Mbona swali rahisi tu hili?
ATCL wanaanza Safari za kwenda chato. Tutakuja humu na hesabu kamili ndani ya miezi 6 ndege imebeba watu wangapiUmeishiwa wewe!
Tafuteni namna nyingine ya kumkosoa Magufuli siyo huu uharo wenu wa chato
Taja hiyo miradi yake mingine kwenye kila Kona ya nchi hiiShangaa sana mkuu!
Magufuli ana miradi kila kona ya nchi hii ila kwakuwa watu wana chuki zao binafsi inaonekana ya chato tu.
Ndio hawa pia wanalalamika kwamba Magufuli anawabagua kabila flani. Ni ujinga sana umewajaa hawa watu
Kwasababu unaona mwisho wa nyayo zako zinapoishia ndio maana unaona hilo la wageni kufikia hotel za Magufuli ndio la kujadili kuliko lengo la kukutanikia hapo.Kwa Hiyo wewe hujaona kosa kwa mtu kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake ili hoteli zake zipate wageni na kuingiza pesa?? Huoni maslahi binafsi hapo kwenye shughuli za umma?
Ndio maana nasema nyie wote ni wapumbavu tu!Unajielewa wewe?? Ulisema chato kuna miradi ya wananchi ndo nikakuuliza Je hoteli zake alizojenga nazo ni miradi ya wananchi???
Inaweza kuwa na hoteli kusiwe kosa Ila kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake alikojenga hoteli zake ili hoteli zake zipate wageni na kuingiza pesa linaweza kuwa kosa
Wewe ni mbumbumbu, bora uendelee kudeal na kesi za ICC tuTaja hiyo miradi yake mingine kwenye kila Kona ya nchi hii
Chato hazitakiwi kwenda ndege?ATCL wanaanza Safari za kwenda chato. Tutakuja humu na hesabu kamili ndani ya miezi 6 ndege imebeba watu wangapi
Mbona umejibu tofauti na ulichoulizwa? Taja iyo miradi mingine ya magufuliWewe ni mbumbumbu, bora uendelee kudeal na kesi za ICC tu
Mkuu, wewe ulishajaa negativity dhidi ya Magufuli, hata ukigongewa mkeo najua utamlaum yeye.Mbona umejibu tofauti na ulichoulizwa? Taja iyo miradi mingine ya magufuli
Kwanza unajua maana ya mgongano wa kimaslahi au unabwabwaja tu hapa??? Kwa iyo kwa akili zako unaona sawa mtu kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake kwa sababu tu Kuna hoteli zake???Ndio maana nasema nyie wote ni wapumbavu tu!
Kwahiyo unataka wasikusanyike kule kisa kuna hotel za Magufuli?
Wameingiza kiasi gani hao wageni hata kama ni kweli kuna huzo hotel? Hiyo hela waliyoingiza kwa akili zako Magufuli anaikosa?
Hivi Magufuli ana miradi mingapi hapa nchini mpaka uone huko Chato ni ishu kubwa sana?
Wakosoaji wa Magu ni hopeless kabisa
Mbona kama unajichanganya?? Unauliza kuna ubaya gani watu kufikia hoteli ya magufuli alafu unasema tena tuna uhakika gani kama ni hoteli za magufuli? We mwehu nini?Kwasababu unaona mwisho wa nyayo zako zinapoishia ndio maana unaona hilo la wageni kufikia hotel za Magufuli ndio la kujadili kuliko lengo la kukutanikia hapo.
Alafu una ushahidi wowote wa kwamba hotel walizofikia huko ni za magufuli?
Unajua lengo la ile shughuli kule?Kwanza unajua maana ya mgongano wa kimaslahi au unabwabwaja tu hapa??? Kwa iyo kwa akili zako unaona sawa mtu kufanya shughuli za kiserikali kijijini kwake kwa sababu tu Kuna hoteli zake???
Kwani kuna shida gani ukiitaja hiyo miradi ya magufuli kwenye mikoa mingine? Itaje tu?Mkuu, wewe ulishajaa negativity dhidi ya Magufuli, hata ukigongewa mkeo najua utamlaum yeye.
Akushauri punguza chuki, jikite kutafuta maisha, utakufa masikini
Sema wewe lengo la kufanya ile shughuli kule. Nani hana shida ya hela duniani hapa?? Magufuli ni nani asiwe na shida ya hela???Unajua lengo la ile shughuli kule?
Yani kabisa kwa akili zako umekomaa kwamba Magufuli ana shida na hela kwa hiyo kamuuita Waziri mkuu wa china aje huku ili wageni waende chato wainvize hela kwenye hotel zake?
Acha upumbavu wako!Mbona kama unajichanganya?? Unauliza kuna ubaya gani watu kufikia hoteli ya magufuli alafu unasema tena tuna uhakika gani kama ni hoteli za magufuli? We mwehu nini?
JS hotel ya chato ni ya nani???Acha upumbavu wako!
Wewe unadai kule kuna hotel za Magufuli kitu ambacho pia porojo tu ukiambiwa leta ushahidi utaishia kuharisha tu hapa.
Nikakwambia hata kama zipo kuna ubaya gani wageni kufikia kwenye hizo hotel? Si mchakato unafuata taratibu sasa shida iko wapi?
Endelea kuandaa kesi za kumpeleka Magu ICC si anaoendelea kwake?Kwani kuna shida gani ukiitaja hiyo miradi ya magufuli kwenye mikoa mingine? Itaje tu?
Kwanini usiweke document za umiliki hapa maana unajua mmiliki.JS hotel ya chato ni ya nani???
Jibu swali wewe?? acha kujibaraguzaKwanini usiweke document za umiliki hapa maana unajua mmiliki.
Sasa kama hujui hata lengo la ziara ya waziri mkuu wa china hapa nyumbani na lengo la kukutanika kule chato utakuwa unajua nini zaidi ya porojo?Sema wewe lengo la kufanya ile shughuli kule. Nani hana shida ya hela duniani hapa?? Magufuli ni nani asiwe na shida ya hela???