Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Sasa kama hujui hata lengo la ziara ya waziri mkuu wa china hapa nyumbani na lengo la kukutanika kule chato utakuwa unajua nini zaidi ya porojo?
Kwani lengo la ziara ni kupajua chato ndo apelekwe Chato?
 
Kama umetajiwa umekataa je document ndo utazikubali??
Yani mimi nikikwambia jengo flani ni ka kiongozi flani uniamini tu bila evidance yeyote?..

Ndio mnachofundishwa huko chadema?
 
Yani mimi nikikwambia jengo flani ni ka kiongozi flani uniamini tu bila evidance yeyote?..

Ndio mnachofundishwa huko chadema?
Mbona umesema JPM ana miradi mbalimbali mikoani na hujaitaja?? Na wewe ni Chadema?
 
China Cha liganga kinachimbwa, au nako hakuna resources?
Hakuhitaji maendeleo?
 
Shangaa sana mkuu!

Magufuli ana miradi kila kona ya nchi hii ila kwakuwa watu wana chuki zao binafsi inaonekana ya chato tu.

Ndio hawa pia wanalalamika kwamba Magufuli anawabagua kabila flani. Ni ujinga sana umewajaa hawa watu
Hebu iweke wazi hiyo miradi tuijue, kwa maneno haya mheshimiwa no fisadi
 
Sasa kama hujui hata lengo la ziara ya waziri mkuu wa china hapa nyumbani na lengo la kukutanika kule chato utakuwa unajua nini zaidi ya porojo?

Hivi ni waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje wa China, au ukweli unaosemwa hapa umekuvuruga?
 
Kama ana miradi nchi nzima Basi no fisadiSiyo?
Umesikia Raisi wa Msumbuji nae ziarani wilayani Chato kwa siku mbili. Kweli hoteli za Muheshimiwa Safari hii lazima zitengeneze dolari za kutosha.

Hongera sana JPM. Wewe ndo unajua kuwatandika wabongo vizuri
 
Fuatilia mwenyewe unataka utavuniwe kila kitu!!?
Kuleni nchi wanawane. Awamu yenu hii. Naskia mnaiandaa chato kibiashara, hoteli zake zizoee kupokea watu wa kimataifa ili zipate uzoefu muendelee kupiga hela baada ya 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…