Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

Fungua kampuni brella, nenda sido chukua mashine za kutengeneza mikate skonzi na maandaz , tafuta vibali , omba tenda kama kampuni kwnye mashule na taasisi uanze kusambaza vitafuno, kwa kuanzia kodi kirikuu uanze kazi.
Hii biashara kuna mjomba wangu anafanya sasa hv ana matawi mikoa 3 na kila tawi kanunua gari ya kusambaza bidhaa.
 
Huyo ni mke wa ndoa au hawara?

Unaposema biashara ni yako unamaanisha nini?
 
Sio
Sio kweli,vifaa vya simu vina faida kubwa tu,mfano kioo cha simu tunajumua elfu20 lakin kuuza kawaida tu ni elfu35 mpaka elfu30
 
Huwezi kubuni biashara tofauti na hizo acheni ku kariri hizo faida zinajulikana na kila mtu anaweza kuifungua........
Ndiyo maana amewasilisha wazo lake, maono yako, kama yanaona tofauti, weka hapa mawazo yako, afanye nini.
Hii itatusaidia hata sisi ambao hatauliza, ila ukinga wazo lake bila kumpa wazo lingine, ni uongo.
 
Sio

Sio kweli,vifaa vya simu vina faida kubwa tu,mfano kioo cha simu tunajumua elfu20 lakin kuuza kawaida tu ni elfu35 mpaka elfu30
Bila shaka hujanielewa faida niliyoongelea hapo,sijamaanisha faida hiyo unayoipigia hesabu wewe.
Kwa mfano hapo umesema kioo unanunua elfu 20 na kuuza elfu 35 sawa sikukatalii lakini uliwahi kupiga hesabu mtu akinunua hicho kioo inachukua miezi mingapi au miaka mingapi hadi kipasuke ili aje kununua tena?utafananisha na biashara ya chakula ambayo kila mtu ni lazima ale kila siku atake asitake,kamwe haviwezi kuwa sawa.
 
Simply,
1. Join 1xbet,then deposit 10mil
2. Do analysis at least 1.70 odds for four games
3. Stake your bank

Only do this four only 3-4 times for one month, then you'll thanks me one day
 
Fungua kampuni yaku kusafirisha miili ya marehemu kwy mazishi kw gar maalum na mashine zakushusha jeneza, kw mikoani pia wawez kufany utafit kw kina . . . ~Pesa nying ipo hapa
 
Mkuu mi nakushauri kwa mkoa wa Kigoma kwa jinsi navyoujua biashara ya electronicsz na vifaa vya simu itakufaa. Pia ujitahidi uweke na vifaa vya SOLAR utapiga pesa.

Hapo Kigoma wanaouza electronics ni wachache kama watatu tu, WAZIRI ELECTRONICS, STAN ELECTRONICS na ZAHIR kule mjini. Kwahiyo ushauri wangu ni huo

Hardware huwa inahitaji vitu vingi na kwa mtaji huo sioni kama utakuwa na mzigo wa kuweza kuleta ushindani kwa wenzako walio kutangulia
 
Mkuu kwa siku vinauzwa vioo zaidi ya 50 sasa sijajua unazungumzia sehem gan,ila kama ni mjini ana uhakika wa kuuza vioo vingi tu
 
Ni kweli kabisa
 
Hao ni wanawake wa zamani, wa sasa ni mchwa!
 
Mawazo mgando sana haya. Watumishi kede wana biashara zao na zina wapa faida sana mjn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…