Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mkuu...jishughurishe na kilimo...cha nyanya...nunua miche 700@1 shilingi 144=108000 fedha itakayo baki utanunulia maji na mbole nazani itabaki 92000/= katika hizi laki 2 zako....na hizo mbegu utazipanda kwenye eneo dogo la robo heka...ukiihudumia vizuri baada ya siku 72 utaanza kuvuna nyanya na kila mche utavuna zaidi ya kilo 7 za nyanya hivyo 7*650=4500 hapo nimekisia kuwa miche 50 itakufa kwasababu mbalimbali...kilo moja ukiiuza kwa shilingi 1000 utakuwa umejitengenezea shilingi 1000*4500=4,500,000. Hayo ni mahesabu ya chini...mkuu...usifanye kitu kwa kukurupuka...si lazima wote tuwe wafanyabiashara wa nguo tunaweza kubadili uelekea.
 
Vipo mkuu kutoka Kongo!
Pc3 vina grade 30000/ unauza kati 40000 mpaka 45000 vipo vingine 35000 ila unauza 45000 mpk 50000.
hvyo vya pic tatu kila pic vinakuwa viwili viwili au?,maana kuna mtu mwingine anasema jola moja lina pic 6 na sh 42000 tu mkuu,
 
mkuu kwa hiyo 92000 kwa matunzo ya miche yote nazani haiwezi kutosha kabisa,labda kuwepo na maji ya karibu ya bure au unamaanishaje mkuu?
 
hvyo vya pic tatu kila pic vinakuwa viwili viwili au?,maana kuna mtu mwingine anasema jola moja lina pic 6 na sh 42000 tu mkuu,
PC 3 maana yake viko vitenge 3 ambavyo wamama huwa wanajifunga, huyo labda vitakuwa fake, huwezi pata vitenge vya kongo huwa vinakatwa p3, afu kwa mtu anayevijua utagundua ila kwa mgeni ni vigumu kutambua, wachina wanafoji sana, mfano kariakoo vimejaa ukienda kizembe utapigwa tu afu unaambiwa vya Kongo.

Uwe makini maana utalizwa hakuna Java original zinazouzwa PC 6 elfu 42000. Labda km kaziiba.
 
mambo ya kilimo haya hayawez kukutoa wakulima wenyew wanakimbilia mjini jiulize kuna nini mambo ni hapa hap mjini
 
Jamani naishi dar nasoma chuo nimetafta wazo la biashara ndogo ambayo nitaweza kuifanya uku nikiwa naendelea na masomo lakini sijapata jibu maana zilizo nyingi nilizowaza watu wanafanya ni wengi sana hadi soko hamna sasa. Naombeni mnisaidie fursa za biashara yenye mtaji mdogo usiozidi lakimoja ili niweze kujikimu kimaisha huku nasoma. NAOMBENI MNISAIDIE KWA MAWAZO
 
Kaanga kitu kama Karanga funga kuanzia za 500 kitu hii kuna kipindi ilinisaidia sana nilikuwa na mtaji Wa 20000 tu!..
 
Habar wakuu?
Mdau wenu Naomba Ushauri wenu juu ya swala hili......
Je kwa mtaji wa 200,000 naweza fungua Biashara gan?
hapa mjini Dar-es-salaaam?

NAWASILISHA...........
Uza Katanga na pipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…