Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

wasalaam wakuu
pole na majukumu.

Ningependa kujua hela hiyo inafaa kwa biashara gani kwa kipindi hiki cha magufuli ili nihustle maana huwa napata laki 6 zinaisha bila chenji.
 
Nakushaur kaiwekeze
Kwenye kilimo cha mahind
Na maharage walau hata kwa
Robo 3 ya heka
 
Wekeza betting,maana unapanda nakuvuna halo kwa papo.
 
Hata biashara ya matunda yale ya kwenye vikontena Na biashara ya viazi,mihogo, ndizi za kukaanga inafaa kabisa mkuu
 
ungesema upo maeneo gani?...
hapo ingekuwa rahisi sana kupata ushauri uliyo makini
 
zinafanywaje mkuu
Yaani biashara ya kukaanga mihogo, viazi na ndizi...Pembeni ukiweka na matunda mix kama ndizi, parachichi ,machungwa n.k

Ni suala tu la kufanya utafiti wako mdogo then unaanza kujiandaa na mahitaji yako(kama mazingira ya biashara yanaruhusu sehemu husika)

Huo mtaji unafaa kabisa kwa kuanzia
 
Una mawazo mazuri sana ndugu. Kilimo ndio mkombozi wetu kwa hakika. Wenyeji wa mbeya waje watujuze bei ya kukodisha mashamba ikoje huko, cha kuanzia ni hiko kwanza
Ahsante sana ndugu kwel tusaidiane maana ajira sasa ni nguvu zetu wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…