Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

anza biashara ya baba lishe au mama lishe...hiyo pesa inatosha kabisa, lakini nguo mmh!!
 
anza biashara ya baba lishe au mama lishe...hiyo pesa inatosha kabisa, lakini nguo mmh!!
Biashara ya kijinga hiyo mkuu,,, unamtaka aunguwage na moto tuu ,,,
Mkuu chukuwa ushauri wa biashara ya dagaa mkuu
Hiyo ya nguo usijaribu hata kidogo
Hiyo ya kuwapikia wanaume wenzako achana nayo
 
Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba
Hivi ndivyo matapeli washamba wa mikoani huwatapeli wakuja wenzao kwa kuweka namba ya simu ili iwe kama ulimbo kunasa na wasiokuwemo.[emoji57]
 
Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba

Acha usanii bro kama una wazo la biashara weka hapa jamvini namba za simu za nini tena!!!
 
fanya biashara ya starehe zote unazozikosa pindi huna hela, ukimaliza pesa zote faida yake utaiona
 
Mkuu njoo nikuelekeze biashara za nguo za ndani za wadada, chupi dazani(12) elfu 30000 unauza 40000, nyingine 36000 unauza 45000 mpk 50000, unaweza kuzifanyia reparking tukafanya sita pia. zipo boksa pia 3 elfu 12000 unauza 15000. Vest na nyingine mzigo kutoka Malaysia na Turkey.
hivi zile chupi wanazouza 1000 kule kariakoo zinapatikana wapi kwa bei ya jumla?
 
HABARINI WANA JF....
mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biasharakamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo....

Kila kitu kina mwanzo wake, natambua uwepo wa watu walioanza mapema ukulima, pia wakulima wa miaka mingi hapa..
Mwanzo wangu mimi nina kiasi cha sh Laki 5 na ninataka mwaka huu nianze kazi ya ukulima...
Kwa mliotangulia naomba ushauri je nianze nakilimo gani? ambacho pesa itatosha....

IKUMBUKWE..
Natokea Mbeya na nataka kulima huko mbeya ambako Mpunga na Mahindi vinastawi sana......

Pia sina shamba, natarajia kukodisha.
Naomba ushauri wenu Ndugu zangu Mliotangulia na pia wenye uwezo wa kudadavua mambo

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom