Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nguo za wadada/watoto

Matunda mchanganyiko (yale ya kwenye kikontena kidogo)

Maji ya kunywa ya kuuza..

Na zinginezoo........

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Hiyo ya na nyinginezo itakua inalipa sana
 
Kama unamiliki smartphone, nenda kariakoo kwenye maduka ya Jumla, piga picha vitu unique

Post kwenye social medias tangaza biashara with affordable price, ukipata oda unaenda kununua unapeleka kwa mteja

kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
 
Wakuu kama topic inavyosomeka
Nna kalaki 3 kangu sitaki kukachezea chezea ovyo kwa kunywea balimi,nataka kufanya business ,but sijajua biashara gani itafaa kwa mtaji huu,kwa hapa jijini mwanza
Wale wazoefu wa biashara wanishauri hapa.

NB:Kejeli sitaki nataka kupambana na hali yangu na haka kalaki 3.
 
Habari wana jf:
Mimi Nina mtaji wa laki Moja (100,000)
Je naweza Kufanya biashara gani ambayo itaweza kuniingizia kipato,?
NA huku naikuza hiyo biashara?

Najua humu Kuna watu wamemeanza na mtaji huo na kwa sasa wako mbali.
Naomba wazo lako tafadhali , nami sitokuwa mchoyo wa fadhila. Asanteni. [emoji120]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Njoo nikuoe tu.

Utaingiza pesa tani yako.
 
Habari wana jf:
Mimi Nina mtaji wa laki Moja (100,000)
Je naweza Kufanya biashara gani ambayo itaweza kuniingizia kipato,?
NA huku naikuza hiyo biashara?

Najua humu Kuna watu wamemeanza na mtaji huo na kwa sasa wako mbali.
Naomba wazo lako tafadhali , nami sitokuwa mchoyo wa fadhila. Asanteni. [emoji120]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Biashara hii hapa
anza kuuza glass protecta.
haswa za tecno na simu zote kwa ujumla tablets n.k, kila moja ntakupa kwa 1500,
Kwa hela yako utapata
pc 60
Utazunguka maofisini.
Nakutabiria utauza kwa siku 10
Kila moja utauza kwa 3000
Kwa siku utapata 30000
Nauli na chakula 10000
Kwa mwezi utapata zaidi ya laki 5
Kwa mwaka utakuwa na zaidi ya ml5
 
Mkuu ushauri wako umetulia sana big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom