Hiyo ya na nyinginezo itakua inalipa sanaNguo za wadada/watoto
Matunda mchanganyiko (yale ya kwenye kikontena kidogo)
Maji ya kunywa ya kuuza..
Na zinginezoo........
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] aiseeHiyo ya na nyinginezo itakua inalipa sana
Mkuu njoo inbox nikupe mchongo wa kilimo two week tu unakua na pesa nzuriWakuu amani iwe nanyi nyote...
Mimi nina kama vi laki 560, 000
Naomba ushauri niwekeze kwenye mradi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuoe tu.Habari wana jf:
Mimi Nina mtaji wa laki Moja (100,000)
Je naweza Kufanya biashara gani ambayo itaweza kuniingizia kipato,?
NA huku naikuza hiyo biashara?
Najua humu Kuna watu wamemeanza na mtaji huo na kwa sasa wako mbali.
Naomba wazo lako tafadhali , nami sitokuwa mchoyo wa fadhila. Asanteni. [emoji120]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Biashara hii hapaHabari wana jf:
Mimi Nina mtaji wa laki Moja (100,000)
Je naweza Kufanya biashara gani ambayo itaweza kuniingizia kipato,?
NA huku naikuza hiyo biashara?
Najua humu Kuna watu wamemeanza na mtaji huo na kwa sasa wako mbali.
Naomba wazo lako tafadhali , nami sitokuwa mchoyo wa fadhila. Asanteni. [emoji120]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Mkuu ushauri wako umetulia sana big upBiashara hii hapa
anza kuuza glass protecta.
haswa za tecno na simu zote kwa ujumla tablets n.k, kila moja ntakupa kwa 1500,
Kwa hela yako utapata
pc 60
Utazunguka maofisini.
Nakutabiria utauza kwa siku 10
Kila moja utauza kwa 3000
Kwa siku utapata 30000
Nauli na chakula 10000
Kwa mwezi utapata zaidi ya laki 5
Kwa mwaka utakuwa na zaidi ya ml5
Ningetaka kuolewa. Ningerafuta mchumba.Njoo nikuoe tu.
Utaingiza pesa tani yako.