Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Asante sana. Unapata kana wapi?

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Ukianzisha biashara kwa pesa io na biashara ikawa kubwa, wee ni tajir hautashindwa kitu kamwe! Uo ni mtihan mkubwa ur apprentice will make you a millionare kila la heri mkuu
 
Ukianzisha biashara kwa pesa io na biashara ikawa kubwa, wee ni tajir hautashindwa kitu kamwe! Uo ni mtihan mkubwa ur apprentice will make you a millionare kila la heri mkuu
Usinikatishe Tamaa. Kumbuka Kuna watu walianza na mtaji wa elfu hamsini na sasa wanaing izakaya malaki kwa siku
 
Karanga za mayai(hapa ukipata centre kama maeneo ya shule hasa za msingi utakuza mtaji wako)

Bites and beverages..sana sana juice ya kuitengeneza mwenyewe ndio inalipa

Kata park matunda na kuuza..acha aibu nothing comes easy

Nunua na kuuza nguo za ndani nzuri kwa jinsi zote mbili,hata nguo za watoto ni dili pia

Nunua kwa bei ya jumla kisha uza reja reja bidhaa hizi pampers, pedi, medicated soaps and toothpastes etc..

Nunua na kuuza mapambo/urembo kama hereni bracelets nk machalii was dar wanapenda sana kujipamba...

Cover na protectors za simu zinauzwa kwa mafungu Nairobi, kanunue uje uuze bongoland

Kuna dawa muhimu pia zimekuwa adimu e.g action painkillers utazipata Nairobi ukuje kuuza hapa bongo

Kids kits ukijua kuchagua nzuri zile watoto wanapenda utapiga ela

Uza rasta mawigi na rangi za kupaka..ladies like to fake their nature u ll gat em

Kama unaweza uza ganja na miraa..hiyo ela itajizidisha kwa yenyewe after a while
[emoji3]

hata bibi alikuwa binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…