Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nenda k'koo sehemu wanazofungua mabalo kapoint nguo za watoto na kawauzie jirani zako unao wafahamu au ziweke sehemu wanayopita watu wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wanajf wenzangu nadhani kichwa cha habari kimeweka wazi mi nikijana nafanya kazi kwenye ofisi moja iv lakn na kipato changu nichakawaida naombeni mawazo yenu ili nijiinue kidogo kwny kipato changu
Karbuni kuchangia mawazo yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPA JF WENG SYO WAFANYABIASHARA
WENG NI
1. JOBLESS
2. GRADUATE WANAOHANGAIKA NA KAZI.
3. WATAFUTA NDOA
4. MASHUSHUSHU (MALAIKA WA KUINGILIA MITANDAO)

WAFANYABIASHARA HUMU HAWAZIDI 1%

JF INAAKISI MAISHA YA WATZ WALIO WENGI.. HAWANA IDEA WALA UZOEFU WA BIASHARA.. HATA UKASEMA UNA MTAJI WA M. 100, SANASANA UTAAMBULIA MATAPELI.
 
Haswaaa hujakosea kitu. Hata useme una billion 10,kuna watakaokuponda, na watakaokuja kinafki, Lakini ujue a unamtaji Mdogo, wataishia kuchungulia, na kukukebeh na kutoka.
Nimeamini Hilo.
 
Asante sana sana.
Ila la mwisho, unataka nikale chakula cha bure sirikalini?????
 
Asante sana sana.
Ila la mwisho, unataka nikale chakula cha bure sirikalini?????
 
niuzie na mimi chache za majaribio
 
ungesema shingapi kipato cha kawaida ni nini?
wengine kpato cha kawaida ni milioni hamsini
wengine milioni tano
wengine laki saba
wengine elfu sitini
wengine elfu saba(wanaitwaga Lumumba fc)
 
Aisee mkuu umemmaliza[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aende nairobi na laki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…