proudly mrs sam
Member
- Aug 9, 2017
- 97
- 85
Kweli wazungu wanajua kucreate wajinga akilini mwaoI disagree with u, mistake kubwa watu wanafany ni kujoin kipind ishakaa sana na apo ndo kwnye risk kubwa kwa sababu network marketing after some time ina-collapse. Alliance In Motion Global inakua officially launched this month, this is the right time to join dont wait till 2023 ndo ujoin.
Nichek watsap 0659426390 nikufafanulie. Afu AIM Global ina tofauti kubwa sana na nyingne zote ambazo ushawah kuzisikia.
U dont know anything about me, Robert Kiyosaki kwny Rich Dad, Poor Dad alisema "Most of poor people are poor because they CRITICIZE instead of ANALYZE". Uwe na asubuh njema mrs sam.Kweli wazungu wanajua kucreate wajinga akilini mwao
Nilianza network since 2015 till now nothing despite of working hard on themU dont know anything about me, Robert Kiyosaki kwny Rich Dad, Poor Dad alisema "Most of poor people are poor because they CRITICIZE instead of ANALYZE". Uwe na asubuh njema mrs sam.
Pole kwanza, pengine hukua sehem sahihi au hukua trained vizur. Quitting haitakusaidia, take your time and do some research kuhusu AIM Global au nichek (0659426390) nitakusaidia kukufafanulia, kama ulishawah kujihusisha na network marketing before utakubaliana na mimi kua this one is very different na nyingne ambazo ushawah kuzisikia.Nilianza network since 2015 till now nothing despite of working hard on them
Siku ukitengeneza milion 10 kutoka global ndo na mimi nitajiunga otherwise ngoja niendelee na mgahawa wangu napata faida elf 15 kwa siku si habaPole kwanza, pengine hukua sehem sahihi au hukua trained vizur. Quitting haitakusaidia, take your time and do some research kuhusu AIM Global au nichek (0659426390) nitakusaidia kukufafanulia, kama ulishawah kujihusisha na network marketing before utakubaliana na mimi kua this one is very different na nyingne ambazo ushawah kuzisikia.
udalali wa vitu gani,na atapataje hivyo vitu au itambidi azunguke kuulizia vitu vya kuvidalalia ili kujiridhisha na akisha jiridhisha atafute wateja?Duh! laki mbili ni bonge la challenge,mimi juzi nilipata 5mil. mpaka leo sijajua nini cha kufanyia ili ijizae.tatizo langu ni muda wa kusimamia hiyo shuguli.
-kwa kuwe tayari mtoa mada anajua kutumia JF forums,nakushauri ufungue blog yako,sajili domain name .co.tz kwa elfu25 ,then anzisha biashara ya udalali, hapo itabaki kama laki,irudishie ktk vocha.
2-kanunue/tengenez mkokoteni wa maji,mtafute kijana kila siku akupe elfu 3 tu, after 3months utakuwa na laki3,pesa yako imerudi na unaweza kuongeza mtaji wa vocha
Kuwa makini wengine wanakubal then wanakutapeliBiashara ya tumbo (chakula) ndio rahisi na inalipa chapchap.......mwisho wa siku jua linapozama unakuwa umejua mzunguko wako. Kwa kuanzia badala ya kuanza ku-invest kwenye capital expenditure, nakushauri tafuta mtu ambaye tayari anafanya biashara then ongea nae kama unaweza kuchangia mtaji halafu faida mgawane pasu kwa kipindi fulani cha mpito. Mfano cheki hawa jamaa wauza mihogo, maji, madafu, samaki, karanga, vitumbua, chapati, miwa, mahindi ya kuchoma nk mtaji wao kwa siku wengi huwa hauziki elfu hamsini. Kuwa mjanja kudadisi wanavyofanya biashara then ingiza wazo la kuongeza mtaji, then atakayekubali hapo utakuwa mwanzo wa kuzungusha hiyo laki kabla hujaimaliza kwa mama ntilie
Hapo kuna fursa za mbunye bei poa na ushetani mwingineWadau naomba mwenye kunipa idea
leo katika tembe tembea zangu mtaani, nimegundua kuna sehem kuna bar na groceries nyingi sana zimerundikana sehemu noja na kila moja nimeona ina wateja wengi!
sasa swali langu ni je, kuwa na groceries na bar nyingi sehemu moja ni indicator ya fursa gani za kibiashara maeneo hayo tofauti na bar, grocery na chips?
Naomba ufafanuzi mfupi na kwa kina zaidi hapoHiyo no. 3 ukiwa na nafasi nzuri ya kuifanya inalipa sana utajiri nje nje.biashara nzuri kwa kweli
Ukiwa kwenye mikoa yenye ng'ombe wengi kama aliyotaja mtoa mada , unatafuta eneo zuri la kutunzia ng'ombe then unaingia vijijini unanunua ng'ombe waliodhoofu(waliokonda) wanauzwa bei ndogo sana.sababu ya muonekano wao, unaweza kuwanunua hata 100,000#kwa mmoja.ukiwafikisha kwenye eneo uliloandaa,unaanza kuwalisha kitu kinaitwa mashudu,unawapa na maji,chakula hicho kinawafanya wanenepe haraka na kuwa na maumbo makubwa.then unawasafirisha mpaka dar na kuuza kwa bei nzuri sana. Kama mtaji bado mdogo unaweza kuwanenepesha then ukamuuzia mtu akayesafirisha kupeleka dar. Maana kusafirisha ng'ombe gharama yake sio ya kitoto Lakini ukimuuzia mtu faida yake sio kubwa sana kama vile utakavyosafirisha mwenyewe .kwa kuanzia unaweza ukamuuzia mtu mwingine awasafirishe then mtaji wako ukiwa vizuri unaanza kusafirisha mwenyewe inalipa sana.Naomba ufafanuzi mfupi na kwa kina zaidi hapo