Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nitangulize Shukrani zangu kwa wana JF.
Nina mtaji usio pungua LAKI TANO (500,000), nimefikiria kufungua lango la Chips maeneo ya Dar es Salaam.
Naombeni ushauri ni maeneo gani yako potential kwa biashara hiyo au kwa mtaji huo naweza kufanya kitu gani kingine.?

Ahsanteni sana, na nakaribisha mawazo yenu ndugu zangu..!!
 
Tupa,maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam chips zinaliwa kuliko chakula chochote kile,kama hapa kinondoni unaweza ukakuta
Mabanda kama matano yamefuatana na biashara ni murua fedha zinapatikana...ni wewe tu na utajari na ubora wa huduma bila kusahau usafi...mishkaki ndio kiburudisho....mwisho kuwa mbunifu..
Kila la kheri ktk kuwauzia chips
 
Ngoja nakuja sasa hivi. Unatakiwa ununue mashine ya risit TRA, n laki nane
Ukishanunua lesen ya biashara n elfu hamsin
Baaada ya hapo eneo LA kupanga kodi n laki kwa mwe z na unatakiwa ulipe miez sita...
Jaribu kuongeza mtaj ufike million 2
 
Ahsante sana mkuu.!
 
Ngoja nakuja sasa hivi. Unatakiwa ununue mashine ya risit TRA, n laki nane
Ukishanunua lesen ya biashara n elfu hamsin
Baaada ya hapo eneo LA kupanga kodi n laki kwa mwe z na unatakiwa ulipe miez sita...
Jaribu kuongeza mtaj ufike million 2
Ahsante mkuu kwa ushauri.
 
Mi nlivojifunza hadi sasa, ukiomba ushauri juu ya biashara lazima ukatishwe tamaa, lazima uambulie negativity...
Inasikitisha sana kuona watanzania wengi hawapo tayari kutake risk,, hawatoi ushauri mzuri kwa vitu vya maendeleo and they are always hoping for the worse to happen!!!
Ili ufanikiwe ni lazma uwe risk taker.....ukiomba sana ushauri kwa bnadam wa sasa hautokaa uanzishe biashara yeyote!!!
Mkuu, we uskilize moyo wako tu,, Kumbe kuwa safari ndeefu huanzishwa na hatua moja tu
 
Asante kwa ushauri ndugu
 
Inakera....
Ukisema biashara hii ooh hiyo usijaribu, ukisema una mtaji huu ooh hautoshi ilmradi tu kukuvunja moyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…