Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni ya wengi yanalenga kukukatisha tamaaHabari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
Ukamdhurumu kijana mwenzioMaoni ya wengi yanalenga kukukatisha tamaa
usiwasikilize angalia mbele..
njoo PM
Maoni ya wengi yanalenga kukukatisha tamaa
usiwasikilize angalia mbele..
njoo PM
Akijibu niambie tuje kuona million kwa mwezi kwa mtaji huoMkuu unaweza kuweka hayo mawazo hpa iwe faida ya wote
nani akulipeKuna uzi niliuona huku kwamba unalipwa kwa kuangalia matangazo mtandaoni, hivyo hiyo jiwe tatu nunua laptop alafu tafuta ule uzi upate maelekezi uanze kuingiza mijihela.
Hiyo 1M ulimaanisha mauzo au faida?Habari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
MauzoHiyo 1M ulimaanisha mauzo au faida?
We utakuwa akina Forever Living.. kwa nini uende inbox? Yaseme hapa, maana hata yeye hakuomba mtu amfuate inbox...Maoni ya wengi yanalenga kukukatisha tamaa
usiwasikilize angalia mbele..
njoo PM
Usimdanganye mwenzako!kuku ununue,ufuge,chanjo,chakula.nk.hiyo haitoshi.mi nilianza kufuga kuku na milioni mbili .Fuga kuku
How mkuu?Only FOREX can give that amount per month
Hahahahaashoeshine
Hii forex nimeisikiai ila bado cjaifahamu vizur. Ila ningepata elimu kidogo ya kuanzia ningeshirikiForex traiding ndo mpango mzima, soma nyuzi za Ontario kama hujui chochote kuhusu forex.