Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Ni biashara nzuri ambayo inalipa sana kama utasimamia mwenyewe. Tatizo mtaji wake ni mkubwa kidogo kulingana na pesa ambayo unayoBiashara ya chips mnaionaje
1. Kabati la kioo 200,000/=
2. Jiko la kupikia 90,000/=
3. Vyombo vidogo vidogo 80,000/=
4. Meza pamoja na viti vya kukalia wateja 150,000/=
5. Viazi debe mbili nadhani sasa hivi ni 24,000/= mafuta ya kula kindoo kidogo 30,000/= kama sijakosea
6. Pesa ya dharura 100,000/= kwasababu lolote linaweza kutokea
Jumla hapo tunapata 674,000/= hapo ni mwanzo na ukumbuke hujapanga frem.
Ila ni biashara nzuri tafuta eneo lenye watu wengi halafu pia upate mtu ambae anajua kupika chipsi nzuri pamoja na lugha nzuri,unaweza kughairi kuajiliwa utakapomaliza masomo yako.
Usimamizi mzuri ndio msingi wa mafanikio kwenye hiyo biashara