Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Huu Uzi nimeupenda
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango [emoji95]BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo [emoji91]940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja [emoji95]MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble [emoji91][emoji91][emoji91]MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
 
1. Glass za kawaida 800 utauza 3000 adi 5000
2. Glass za 3d na 5d 4000 utauza 10000 na 15000
3. Makava ya kike na kiume clasic 4000 utauza 10000 na 15000

Mkuu hizo Glass kwa hio bei nazipata wapi? manake wadau hawataki kunipa machimbo ya hzo vitu
 

 
Nenda kariakoo, nununua sox dazani moja shs 6000, ww unauza unauza buku kwa pair, au nunua chupi za kike dazani kwa shs 12000, ww unauza dazani kwa shs 24000
Unaweza ukanielekeza hili chimbo mkuu vinapotikn kwa bei hizo
 
Uza simu huko uliko wana funzi wa o level Had I Advance bado wanahitaji simu? Uko WAP nkuelekeze biashara ya kuuza matunda KWA kuyapack KWA coco ungepata sana hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download app ya kubet weka laki moja mtaji, kila siku unakuwa unaweka mechi moja au mbili za uhakika zenye odd ya 1.7 na kuendelea, kwa siku unatengeneza 70,000 kwa mwezi ni 70,000x30 =2,100,000 unaingiza pesa ukiwa umelala, usiwe na tamaa tu



N. B.. Kama huna roho ngumu unaweza kufa kwa preshaaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…