Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Salamu Wakuu

Naomba ushauri wenu Wakuu nina laki tatu Cash ni biashara gani naweza kufanya ambayo hahiitaji uwepo wangu sana hata kama inahitaji sawa tuu kwa mtaji wangu huu

NB
Bado ni mwanafunzi wa A level

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda boda ya Namanga au Tarakea kanunue pombe za viroba kutoka kenya,unakuja kuuza bongo kwa kulangua...ukifanya ndani ya miezi mitatu utaongelea mtaji wa milioni unusu piga hesabu sasa kama.miezi mitatu mtaji umekua mara 5 mwaka je? ila angalizo wazee wakikudaka usiseme kama mi ndo nimekuambia uende huko
 
I disagree with u, mistake kubwa watu wanafany ni kujoin kipind ishakaa sana na apo ndo kwnye risk kubwa kwa sababu network marketing after some time ina-collapse. Alliance In Motion Global inakua officially launched this month, this is the right time to join dont wait till 2023 ndo ujoin.

Nichek watsap 0659426390 nikufafanulie. Afu AIM Global ina tofauti kubwa sana na nyingne zote ambazo ushawah kuzisikia.
Tupe mrejesho wa Alliance...
Uongo haudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza glass ptotecta na makava ya simu
Tena uzitembeze mwenyewe hadi ukue
1. Glass za kawaida 800 utauza 3000 adi 5000
2. Glass za 3d na 5d 4000 utauza 10000 na 15000
3. Makava ya kike na kiume clasic 4000 utauza 10000 na 15000
Mkuu tafadhali naomba unielekeze zinapopatikana hizo vitu
 
Back
Top Bottom