Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
mtumba grade AA balo ni kiasi gani?Hakuna biashara isiyo na changamoto,nina uzoefu wa kutosha kwenye hii biashara na si risk kama zingine.....haikupi mawazo kwani haiozi isipokuwa inahitaji juhudi na ushawishi tu.
unakotoa mzigo
Mkuu hizo Glass kwa hio bei nazipata wapi? manake wadau hawataki kunipa machimbo ya hzo vitu
Wewe uko wapi, maana hapa memorial Moshi lipo la kuanzia 150, laki 2 na nusu t shirt za kiume, bell kubwa laki 4 t-shirt za kiume, bukta mpaka laki 5 na 80... Mapazia mashuka laki 9,Wakuu msaada balo la mitumba grade ni shilling ngapi???
Na maeneo yapi naweza pata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo mtwara mkuu msaada ni mgeni wa kazi hiyo ndo nataka niiianzeWewe uko wapi, maana hapa memorial Moshi lipo la kuanzia 150, laki 2 na nusu t shirt za kiume, bell kubwa laki 4 t-shirt za kiume, bukta mpaka laki 5 na 80... Mapazia mashuka laki 9,
Bei za mabello ndio hizo nadhani mkuu, najua hata huko ni nafuu zaidi au angalia kilichopo msumbiji hapo ulete bongoMm nipo mtwara mkuu msaada ni mgeni wa kazi hiyo ndo nataka niiianze
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu asaaante kwa ushauriBei za mabello ndio hizo nadhani mkuu, najua hata huko ni nafuu zaidi au angalia kilichopo msumbiji hapo ulete bongo