Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176
 
Ndugu zangu JF nikiwa na mtaji wa shilingi laki 3, ni biashara gani naweza kuifanya kwa hapa Dar es salaam?
 
Ndugu zangu JF nikiwa na mtaji wa shilingi laki 3, ni biashara gani naweza kuifanya kwa hapa Dar es salaam?
Wewe unadhani ni biashara gani unaweza kufanya? Je una mipango gani na ni eneo gani unatarajia kuanzia biashara? Nani walengwa wa biashara hiyo? Je unao uzoefu wowote? Je umefanya utafiti wowote? Nini malengo yako ya muda mfupi na muda mrefu mwanangu? Hebu tuanzie hapa.
 
Shkrani mno, una nafasi yako peponi, naamini nikipata majibu ya maswali hayo, nitakuwa nipo biasharani tayri[emoji120]
 
[emoji110] safii kijana
 
Zinapatikana maeneo gani kiongozi???
 
Kopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.
Nimefanya hii biashara ya kukopesha. Inahitaji ukopeshe watu waaminifu hasa tena hakikisha wana miji yao.

hakikisha unakopesha 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞, hawa wengi wao wana hofu na mikopo

toka nianze kukopesha sijawahi pigwa

kwa kila elfu kumi, unarudisha 13,000 baada ya wiki 2.
 
Nina mtaji wa laki 9 nataka kuanzisha biashara. kwa mchanganuo naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo naweza fanya kwa mtaji huo? Nipo Dar na sijapanga
 
Habarini ndugu zangu, nilikuwa naomba nisaidiwe msaada wa kimawazo ya biashara kutoka kwenu ndugu zangu.

Hapa nilipo nina kiasi cha shilingi laki moja na nusu, so nilikuwa naomba msaada wa Wazo la biashara ambalo litaweza kufit kutokana na hiki kiasi cha pesa nilichonacho.
 
Wazo lolote utakalo lipata linaweza kukulipa lakini kwa kiasi cha mtaji ambacho umejaliwa kwa sasa nadhani unahitaji sana subra kupita wazo la kibiashara.

Najua wazo la kibiashara unalo tayari labda unaweza ukawa uamini kama ni wazo sahihi.Kikubwa ili wadau waweze kuwa wa msaada kwako jaribu kuwaeleza kwa uzuri hiyo biashara yako unataka iwe maeneo yapi? if possible eleza social profile yako(sio lazima) nasema hivi kwa sababu mtu anaweza akakwambia anza kuuza karanga kumbe mwenzetu unavitabu vyako vingi kichwani kwahiyo ukawa unapata ugumu uanze vipi hiyo kazi.

Kuhusu eneo ni muhimu sana kueleza kwa sababu jambo ambalo mtu atakwambia linalipa Dodoma linaweza lisikupe faida ukiwa Morogoro
 
Hapo unapoishi angalia Kama wauza mkaa wapo wangap Kama wachache unga teller au chukua mihogo na miguu shingo filigisi kaanga uza Kama una Brenda kipind Cha joto hichi tengeneza na juice uza
 
Nina mtaji wa laki 9 nataka kuanzisha biashara. kwa mchanganuo naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo naweza fanya kwa mtaji huo? Nipo Dar na sijapanga
Tafuta bucha Anza kuuza utumbo nunua kabat refu la kioo mizan ndogo nenda machinjion nunua utumbo njoo omba eneo mbele ya bucha uza kg ya utumbo elf 4 had 5 Kaz kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…