Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

shukurani mkuu,huwa napitia page yako
 
[emoji95] Brand New[emoji95]
[emoji617]Nokia 105 original[emoji736]
[emoji617]Batter 1200mAh[emoji736]
[emoji617]Full box[emoji736]
[emoji617] Bei 25000/=rejareja [emoji736]
[emoji617]Jumla 23000/=[emoji736]
[emoji617]No:+255788906890[emoji736]
[emoji95]Mikoani tunatuma[emoji736]
[emoji95] Delivery ipo [emoji1666]
 

Uoga wako ndo umskin wako… fursa hiyo hapo nakutengenezea cream pambe kabisa

Unapata na label yako kwa Bei nafuu kabisa .. Napima kwa Kindoo,kisado, 20litres ni wewe tu
Nichek inbox kwa mazungumzo zaidi…
 
Kiongoz naomba unipe uzoefu wako wa hii biashara ya nguo za watoto nahitaji sana kuifanya.
Kiongozi naomba unipe uzoefu wako wa hii biashara ya nguo za watoto nahitaji sana kuifanyaa.
 
Vipi kama nina computer 2 na mtaji wa laki mbili? Naweza kufanya nini?
 
Hakuna kazi isiyolipa,kikubwa usimamizi tu.
Lakini kwa mtaji wake,bado kuna vitu hajaweka wazi:
-Makazi vipi(kama analipia kodi,bili za hapa na pale)
-Maisha kwa ujumla(kama mahitaji yote anajitegemea au kama kuna kasapoti, ie anakaa kwa ndugu au mtu).
Kwa vyovyote akianza,kama hana backup,lazima nauli,makolokolo mengine ya kutumia,yakitoka humo,mtaji ule lazima upungue.

Na hakika,mtu kama huyu(kasema yeye,ila ni wengi wanaoogopa lakini wana mawazo kama yake),anahitaji biashara inayozaa kila siku anaiona pesa.
Kama akiweka usomi au aibu pembeni,hakika atatoka.
-kwa kuanzia,afanye survey vizuri. Mahindi ya kuchoma yanalipa.
-kama vipi,ajifunze hata kuchoma mishkaki.

Watu wengi wanapenda kuona wanawake wakithubutu,hivyo wateja kwake ni uhakika. Kwa mtaji huo, hapo anachohitaji chabgharama ni jiko
 
Kimsingi kuna mdada mmoja mwanza pale namfahamu fika maeneo ya greenview anauza msosi from jioni hadi usiku wa saa 5-6. Kulaza 30elfu na zaidi kwa siku wala sj suala la kuuliza ambapo mtaji wake ni vilaki tu. We kalia kulinganisha bajaji ya milion 7 na mtaji wa laki 2. Vocha ya ya 500 lakini faida yake ni ndogo less than 15sh lakini chungwa la 200 ujue faida yake si chinj ya 50sh
 
Inawezekana tena sana tu, tembea uone na ujifunze.
 
Mkuu mimi hapa ndy nimekua saiv yaan wazo mlilopitisha mwaka 015 wakati mm nipo kidato cha 3 naenda kwenye point hilo group bado lipo hai
 
Biashara gani iliyopo msufini mlandizi kwa alie kaaa pale na kuifanya akafanikiwa na kupata matokeo nisaidieni
 
Boss bado zipo hizi?
 
Habari, nahitaji kufanya biashara ya nguo za wanawake na watoto wakike pia (umri mwaka 1 hadi 10) kwa maeneo ya Dar es salaam. Naombani ushauri na mchanganuo pia.
 
Naomba ushauri na uzoefu wa biashara ya kukata balo za viatu za mtumba na kuzungusha minadani.kwa yeyote anaefanya hata kama itakua wazo lingine tofauti na viatu karibu!

Note: nilipo sio mjini kivile ila kun minada
Mkuu vp ulifanikisha hii mishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…