Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Dada katika biashara fedha ni sehem ndogo sana ya mtaji, mtaji mkubwa ni wazo lako na mipango, mi nakushauri iyo pesa agiza kuku wa kiyenyeji vijijini uanze kuwafuga.
 
Ushauri mzuri ila inategemea eneo analoishi au apeleke kwenye shule za msingi kuna mitaa mingine ya mageti hakuna wanunuzi wa hivi vitu itakata mtaji maana havilali. Na ktkt ya mji sikuhizi usafiri mbaya sana na jiji limewaondoa. Aangalie fursa mtaani kwake na watu wanaomzunguka kabla hajajifunza afanye za kupeleka mbali kama mitumba.

Option nyingine genge la nyanya, mboga na mkaa kama hamna mtaani kwenu. Vitu kama nyanya vitunguu mbogamboga wanatuuzia bei sana wakati ukienda kkoo ni cheap na hizi hawachagui kila mtu ananunua akapike. Linavyokua unaongeza vitu vingine hadi inageuka duka ya Mangi....
 
help me nna laki moja mkononi niifanyie biashara gani nataka niingize kwnye biashara..? nisaidieni la svyo haitamaliza masaa mawili.
 
...hata ukianza biashara haitamaliza siku,so ni afadhali uile kuliko kuipoteza yote...
 
Baada ya mitihani kumalizika, tutegemee kuona threds za kila rangi
 
Nitumie kwenye tiGO pesa niinywee bia yote maana hata biashara ya karanga haitoshi.
 
Anzisha biashara ya Supu ya pweza nahisi itakulipa vizuri ndugu yangu. Naona wadada kwa wakaka wanaitumia sana siku hizi.
 
help me nna laki moja mkononi niifanyie biashara gani nataka niingize kwnye biashara..? nisaidieni la svyo haitamaliza masaa mawili.

Habari. Mtaji sio tatizo ila ni fikra ndo kikwazo kikubwa, na madhali umekuja kuomba hizo fikra basi fanya moja kati ya fuatayo.

Tafuta madogo wawili waaminifu wa mtaani wasio kua na ajira. Nunua maji ya jumla uwape wazungushe wauze, waweza kupiga elfu 5 kila cku faida kwa kila mmoja, kwa mwezi una laki 3 mara 3 ya mtaji wako, mambo yakienda vizuri unachukua goli unauza.

Unaweza ukawapa birika la kahawa wakazunguka mtaani wakauza, unapiga bao. mtaji ukiwa mkubwa unaanzisha genge la kahawa, unamuweka mdada mmoja anapika maandazi, vitumbua, kashata, anapika kahawa, chai ya tangawizi mwengine kijana anauza na kusimamia mapato.

Unaweza kuzama karume ukatafuta pamba za ukweli za kike (ndio wanunuzi) na simple kali, ukazama chuo chochote hostel ukawaonesha. (japo sishauri sn maana unatakiwa uwe na taste nzuri ya mavazi).

Anzisha kibanda cha kuuza fruits, tafuta dogo mmoja, awe ana katakata anauza, na dumu moja atengeze fruits ile wanaoweka kwenye glasi, mtaji unatosha.

Tengeneza askirimu za mifuko, mpe dogo akatembeze kwenye shule, kule ndo target customers wako.

Mawazo yapo mengi, ukiona zote zimekushinda, chukua hiyo hela yote nenda kwa bim kubwa, mwambie mama, nimehangaika kitaa siku kadhaa nime make jiwe moja, lkn nimeangalia matumizi yake au nan wa kumpa sijaona mwingne zaidi yako, naomba upokee pesa hii najua sio kubwa ila ongezea ongezea kwenye shughuli zako, mbusu miguu hlf sepa zako.

Yaan ndani ya siku chache sn utaona opportunity za kazi zinavokuja mwenyewe utashangaa. Badala ya kuipigia misele au kuhongea au kupiga maji (meongelea kiujumla) ni bora ufanye jambo moja la heri litakalo badilisha taswira ya maisha yako, n by da way dats the ryt ting 2 do, she derves it 2 b kissed in da legs every day, morning n nyt, take it 4m me, da pain of deliverin u in labor z mch az same az dying in a car crash, o drownin in water o smashed by a train in2 2 halfs, n dats js givin birth, didn't tok abt avn u in her belly 4 9 month suffern with frequently puking n mch more, cleann ur dyper, feedin u, mch more worst wen u cried n cnt tok coz ur very tiny 4 dat n she z tryin 2 make u mute n smile coz she's feeln grieve inside seein u her only angel rolling ur tears out from ur beautiful eyes, n carry u here n der, tickling ur cheeks n tok un understandle words (lyk abububuu, papapaaa, yalobby, ashunu shunuu, bababaaa, jst 2 make u smile n singing u songs 2 make u sleep) do u know how mch terrible dat job is?,

mch more feeding u, takn u 2 school, iron ur dress, washn ur pants, taking gud care of u though she z so poor 4 dat bt still struggln n neva give up, wen u grow up u sayn shitty stuffs 2 her bt neva kicked u out of her home rather dan js keepn u in heart n olwys prayn gud 4 u. ur nat dat dumb js nat 2 kiss her, nat even 1nc. man u cnt repay ur mum, u telln me u cnt even kiss her feet? dat wl b a shame n disgrace 2 God, n wl olwys feel difficulty here n hereafter. Go kiss ur mum, n u wl c da relief.

Kila la heri.
 
HMS, big up saaaaanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HMS
.


Usipende kuandika lugha ya malaika kwa mtindo huo utaathirika mwishowe utakua unaandika hivyo hata kwenye nyaraka muhimu na itakugharimu pakubwa.
 

Like kubwaaaaa sanaa mkuu, umetililika kisayansi.
 
Wouhh aiseeee HMS ubarikiwe sana kwa ushauri wako ambao naamini nikiufanyia kazi hakika laki moja yangu itabadilisha maisha yangu kwa namna moja au nyingine. Nawashukuru pia wachangiaji wengine mlionishauri kwa ujumla mawazo yenu mazuri na nayaheshimu pia.. Mungu awabariki j2 hii iwe ya mafanikio na baraka kwenu...
 
Reactions: HMS

Baraka kwa sote. Asante.
 
.


Usipende kuandika lugha ya malaika kwa mtindo huo utaathirika mwishowe utakua unaandika hivyo hata kwenye nyaraka muhimu na itakugharimu pakubwa.

Thanks Mate. That's noted. Am just Adabtable, have been talking that way since ages, but when it comes to composing a letter or doing exam or whatsover am good at it, i don't mix things, but i appreciate your thoughts and concern.
 

mkuu thank alot kwa mchango mzuri, hasa kuhusu mama. umenigusa sana kwa mchango.
 
Reactions: HMS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…