Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

shukrani wakuu kwa michangoo yote mpaka sasa nipo kwenyee hatua nzuri
 
mkuu kambi7 umewekeza ktk mradi gani?
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......yaani mpaka napiga yowe la furaha duh.........Sijawahi kuona geneous kama wewe Sir LOL ur blessed kwakweli......Hongera sana maana una +posivite ideas kupita kiasi....ahsante sana umetusaidia wengi!!!!!!!
daby mouser

 
Last edited by a moderator:
[h=2]Niko tegeta dar naomba wazo la biashara isiyohitaji mtaji wa zaidi ya mil 1 na inayolipa haraka![/h]
 
Ukisema #MTAJI # tayari aidea ya biashara ulikuwa nayo huwezi tafuta mtaji hadi ukaona kiwango flani kinatosha halafu uje kuuliza ufanye biashara gani,. Swali lingekuwa nina certain amount of capital and my plain is to perfom certaim busseness sasa how to start then usubiri ushauri kwa experienced man,
 

nitakutafta
 
Vipi kamanda kama umefanikiwa tushirikishane uzoefu jamani.

mafanikio kuanza hatua mkuu, inshort nimewekeza kwenye uvuvi kwa maana kwamba nimechukua laki nne na nusu kukodi mtumbwi kwa mwezi 1 nakupatia wavuvi, nikachukua elfu hamsini kwa ajiri ya mafuta ya taa kwenye makarabai then asubui wanaporudi nawagaia dagaa kutokana na makubaliano tuliyo weka na hali ya hewa ya siku hiyo na zilizo baki nauza kwa wachuuzi angalau kwa siku sipati chini ya elfu hamsini kwa trip moja.
 

safi sana kiongozi
inamaana unaweza fanya shughuri zako nyingine huku ukiwasubiria wavuvi wako warudi?
Ubarikiwe sana kijana!
 
Thanx kwa ushauri unazungumzia baiskeli za miguu miwili za kusukuma zinazotumiwa kubebea mizigo?
 
Niko tegeta dar naomba wazo la biashara isiyohitaji mtaji wa zaidi ya mil 1 na inayolipa haraka!

Kama uko sehemu yenye watu wengi, biashara ya genge ni nzuri na inalipa sana, namaanisha kuuza mboga mboga, nyanya na vitu kama hivyo
 

Nini tofauti ya MTAJI na CAPITAL ukiacha lugha? Wakati we una-criticise, mwenzio anaingiza 50,000/= kwa siku.
 
safi sana kiongozi
inamaana unaweza fanya shughuri zako nyingine huku ukiwasubiria wavuvi wako warudi?
Ubarikiwe sana kijana!

yawezekana ila usimamizi mzuri ndo jambo la msingi
 
Mkuu umeshusha nondo Wewe!! We kichaa wangu uko vizuri sana kwenye wazo la biashara! Ubarikiwe na BWANA!
 
Da! Safi sana kamanda na hii biashara ndio nilikuwa nikiifanyia research mkuu ila mimi nipo huku Musoma nafikiri tunaweza kufanya kitu au unasemaje? nime ku-PM
 
Utatusaidia wengi.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…