Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri

Kutokea hapo unaweza ukaendelea, au ukabadili biashara, au ukaendelea na biashara zote pia. Ngoja pia kesho nitaangalia pale ofisini na pamoja na kukutana na wadau ni namna gani unaweza kununua kitu cha mara moja kwa hela km hiyo au chini ya hapo afu muda huo huo ukampelekea mtu akakupa hela zaidi hivyo unapata faida wkt unasubiria biashara yako kuanza.
 
Baadhi ya bidhaa adhimu kwa ajili ya mfungo hasa paste, mafuta ya kupikia, sukari, juice, vipo sehemu kwa bei chee sana uki opt aina hiyo ya biashara ni text nikupeleke. Nguo ni sahihi ila naona kama utasubiria wateja muda mrefu.

mkuu nitakutafuta
ahsante
 
Tuwasiliane nikupatie mashuka pamoja na vitenge vya wax mali ya kongo
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?
 
Kutokea hapo unaweza ukaendelea, au ukabadili biashara, au ukaendelea na biashara zote pia. Ngoja pia kesho nitaangalia pale ofisini na pamoja na kukutana na wadau ni namna gani unaweza kununua kitu cha mara moja kwa hela km hiyo au chini ya hapo afu muda huo huo ukampelekea mtu akakupa hela zaidi hivyo unapata faida wkt unasubiria biashara yako kuanza.

mkuu kama kuna nafasi za kutosha, baada ya ndugu yangu MENISON ......panapowezekana husinisahau na mimi
ahsante kazi njema kiongozi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaka nenda kijiji kimoja kinaitwa mdwema nunua kuku wa kienyeji peleka pale heritage cottage utatoka ss hv usipuuze!!

mkuu pole na kazi
hivi hiyo biashara inakuwaje hapo nmdemwa mi nipo DAR
ahsante kiongozi wangu
 
Ngoja nikuuzie shuka kwa jumla,ni za cotton kama upo maeneo ya mjini,upitishe katika maofisi,
 
mkuu jawilat bei ziko vp na package yake ikoje?
Ahsante sana kazi njema
 
[h=2][/h]
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?​

Kama una fremu tayari huo mtaji sio mdogo...uza ata mitumba ya kulenga.
 
Angalia eneo ilipo hiyo fremu yako ni biashara gani inafaa. La muhimu zaidi angalia uwezekano wa kuanza biashara uliyoikusudia toka mwanzo kidogo kidogo.
 
mkuu kama kuna nafasi za kutosha, baada ya ndugu yangu MENISON ......panapowezekana husinisahau na mimi
ahsante kazi njema kiongozi!!!
Mkuu nami niko nyuma yako kama kuna nafas za kutosha bas hasinisahau na me kwenye ufalme huo kaka
 
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?

Haukuwa serious au! Mbona umeingia mitini?
 
Bei ni 25000 shuka zipo mbili size ni 6x6 pamoja na foronya,unafungashiwa vizuri unafikishiwa ulipo,
mkuu jawilat bei ziko vp na package yake ikoje?
Ahsante sana kazi njema
 
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri

Mimi ushauri wangu ni huu angalia eneo linataka nini na nini hasa kinahitajika hapo na watu wengi wanakitafuta hicho kitu na majirani zako wengine hawana hiyo biashara,hiyo ndiyo fursa pekee kwako ukiitumia umetoka mpka watu wanakuja kushutuka wakuige wewe uko mbali sana na umejenga jina. Please soma mazingira yanahitaji nini utakuja kusimulia hapa.

N.B Usiidharau hiyo biashara au hicho kitu utakachokiona hata kama ni kidogo,mahitaji yao ndo biashara yako wewe.
 
Back
Top Bottom