spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri
Kutokea hapo unaweza ukaendelea, au ukabadili biashara, au ukaendelea na biashara zote pia. Ngoja pia kesho nitaangalia pale ofisini na pamoja na kukutana na wadau ni namna gani unaweza kununua kitu cha mara moja kwa hela km hiyo au chini ya hapo afu muda huo huo ukampelekea mtu akakupa hela zaidi hivyo unapata faida wkt unasubiria biashara yako kuanza.