Conq'ueror
Senior Member
- May 13, 2015
- 171
- 131
Mara nyingi watu wanaotaka kufanya mambo kisiri siri tumekuwa tukiwaita matepeli lakini kwa leo sitakuita hivyo. Kwanini usiweke uzoefu wako huo hapa ili wengi tujifunze?
Wachache sana watakaoelewa hili fumbo
Hakuna fumbo hapo,anadhani mimi ni tapeli.Kwa ufupi ni kwamba nimefanya kazi kama supplier wa bidhaa kwa muda wa miaka 7 hapa Mwanza.Nina mtandao wa wateja na uelewa wa kutosha ktk kutengeneza wateja wapya na kuingiza bidhaa mpya sokoni.Mwomba ushauri ana mtazamo mzuri ila anakosa baadhi ya vitu.Nilihisi nikijitolea nijuayo itamsaidia.Huyu mtu aliyenirushia kijembe kama anataka kujifunza,angeniuliza.Sifichi mawasiliano yangu maana namaanisha.
Haujamuita pm.
Wazo zuri sana kila kheri
Namba 6,7 na 9 tuwasiliane kwa namba 0765999539 niko Kirumba,nitatoa uzoefu na ujuzi wangu!
wazo zuri sana
VIJEMBE HAVIONDOI UMASIKINI WETU, kwa mwanza kama unataka kuwin biashara ya sembe mahindi chukua vijijini na kisha njoo nayo mjini na kisha koboa na kuhusu swala la vifungashio nenda kwenye mashine ambayo wanauza sembe watakuuzia mifuko na ukushindwa nenda soko kuu wanuza mifuko, masoko ya bishara yako anza na majirani zako , nenda mahospitalini, peleka kwenye soko, mashuleni kwa walimu mabachara, na hata makanisani baada ya mda uatona maotokeo yake na kunawengine wanaweza kushindwa kununua wa vifungashio mwachie shemeji nyumbani haop naye awauzie hawa wasio jiweza kwa kilo na nusu kilo. kuhusu kufungasha hakikisha unga wako unakuwa safi na mweupe na ukifungasha hakikisha mifuko inaposhonwa inakuwa imekazwa sana. Naomba niishie hapo kwa leo..
UNGA WA SEMBE.
Cc: 8020 Fashion.
Hata ukiniita hivyo sitakulaumu maana hata unachofikilia huna uhakika nacho.Nakushukuru sana maana inaonekana ushawahi kutapeli au kutapeliwa hivyo kila mtu unadhani ni tapeli.Mwomba ushauri ana uhuru wa kukubali ushauri wangu au kuacha.Mtabaki nyuma kwa kutoaminiana na ukosefu wa uthubutu!Shukrani
Hata ukiniita hivyo sitakulaumu maana hata unachofikilia huna uhakika nacho.Nakushukuru sana maana inaonekana ushawahi kutapeli au kutapeliwa hivyo kila mtu unadhani ni tapeli.Mwomba ushauri ana uhuru wa kukubali ushauri wangu au kuacha.Mtabaki nyuma kwa kutoaminiana na ukosefu wa uthubutu!Shukrani
pia anae fahamu mashine za kushonea mifuko atusaidie hapa
Mura....Wadau wazalendo, ni vijiji gani yanapatikana mahindi kwa wingi hapa mkoani mwanza.
Asante sana tata.Haya ndio maoni ya msingi kwetu ,ili tujikwamue na umaskini huu ,safi Sana bro EXCEL
Mura....
amang'ana ghao weito?
Sikiliza nikwambie vizuri kitu. Mimi ni mwenyeji wa mwanza, japo kwa sasa naishi mkoa mwingine.
Kuna mjasiriamali mmoja hapo mwanza ambaye aliongoza Nchi nzima katika mid size growing industries, anashughulika na uzalishaji na usambaji wa unga, nadhani kampuni yake iko Ilemela, inaitwa KIPIPA MILLERS.
Hii kampuni tata ilianza na mtaji wa Tshs milioni moja na nusu miaka zaidi ya 14 iliyopita.
.................................
Sasa tata, huyu kama alianza na mtaji wa 1.5m na sasa anamiliki zaidi ya Tshs bilioni 5, wewe unashindwa nini?
Mimi naye nina wazo hili hili na mengine mengi tu. Nakushauri, anza kwanza kukuza mtaji angalau ufikie milioni 2 hivi kwa sababu moja, hiyo laki nne ni sawa na gharama za kusaka mashine ya kufungia mifuko, kutengeneza lebo, kulipa vibarua wachache utakaokuwa nao, umeme, usafirishaji na mengine kem kem!!!
................
Mdau Conq'ueror, bila shaka atakuwa anazijua ofisi za Makusanya pale Mwaloni Kirumba, hawa nao nimewaona toka mwaka 2004 wakifanya shughuli za usagaji na upakiaji wa nafaka mbali mbali kama mahindi na mpunga, mtafute tu kwa wema atakusaidia, ila kuwa makini usiingie gharama za ziada.
.....
Sasa tata, usiwe mvivu wa kuingia google kujitafutia malighafi za kusoma. Hii ni historia ya huyo kipipa, ilishanivutia kwa kweli...
âNilianza na Sh1.5 milioni sasa napata Sh5 bilioniâ - Makala