Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Sidhani kama hapo utapata jibu hata moja sahihi kulingana na kuwasilisha maelezo yaliyokuwa kwenye mabano.
Sio kila kijiji kina fursa zinazo fanana.
We sema ni mkoa gani na kijiji kipi kisha kuna watu wenye uzoefu wa maeneo husika ndio watakupa majibu yenye kuweza kuyafanyia kazi.
Kuna mtu kasema vocha,wakati kuna vijiji hakuna mtandao hata mmoja wa sim unafika huko.Sas atamuuzia nani
Nyanya au Mgahawa,kuna vijiji ambavyo wanalima hizo nyana,na kuna vijiji ambavyo watuw ake hata ufungue mgahawa hakuna mtu utakae mpata
Sasa ukitoa maelezo ya mkoa na kijiji au hata wilala basi inakuwa nahisi watu kukuambia fursa zilizopo huko
KWA wenyeji wa mkoa wa ruvuma wilaya ya mbinga kijiji cha TINGI.. NAOMBA UZOEFU WENU