Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Salamu kwa wote,Mimi ni binti Wa miaka 23, nipo chuo cbe nina mtaji Wa sh laki ,naitaj kufanya biashara ya kujiongezea kipato huku nikiwa nasoma,naomb ushaur n biashara gani nifanye.
Kwanza nakupongeza kwa kujitambua,Maana mabinti wa CBE hapo kujifanya wote wa masaki ndio zao.Angalizo:Sio wote.Na vidume vyenye gari za kuazima kuja kuuzia sura hapo ndio kama kwao,IFM nao the same
Nije kwenye hoja,
-Kwanza unaishi Dar maeneo gani?
-Umewahi kufanya biashara gani?hata kama ni ndogo ya mtaani
-Ndoto zako ni zipi hapo baadae
-Unatoka Chuo muda gani na kufika nyumbani muda gani?
-Unakaa nyumba ya Kupanga au ni nyumba yeny ya familia
Kwa mie naona hapo ndio mwanga utakuja juu ya nini cha kukushauri.