Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Uza chakula kwa maofisi.
Anza na soko dogo kwa aina chache za chakula.
Ukipata faida thn utafungua restaurant
 

we mñyakyusa àsante sana kwa darasa
ninyi wakina @Ndg.MWASALEMBA mmebarikiwa kujitolea sana katika kutoa elimu ya mambo ya kiuchumi pasipo malipo
kuna ndugu mmoja naye anaitwa MWASALEMBA, mwezi uliopita alitupa elimu adimu sana kuhusu ujasiriamali kwenye semina ya vijana hapa MBEYA HOMELAND
ubarikiwe sana mkuu

mkuu naomba unielekeze hivyo vipimo hapo juu, sijaelewa uliposema 1cbm kwa 400U$D
na pia kama ww ni mmoja kati ya member wa group la xfactor naomba uongee na ma-admin waniunge kwa group maana naona nam-PM xfactor lakini hakuna response
namba yangu nimeku-PM na ww pia
natanguliza shukrani kwako mkuu......

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naleta kwenu omb lang la msaada kwa yyt anaefaham mambo ya biashara, naomba anshaur biashara nnayoweza kuifanya kwa mtaj wa Tsh. 100,000/= tu.
 
Wakuu naleta kwenu omb lang la msaada kwa yyt anaefaham mambo ya biashara, naomba anshaur biashara nnayoweza kuifanya kwa mtaj wa Tsh. 100,000/= tu.

upo maeneo gan na unajishughulsha na nn
 
Wataalam wa biashara naomben ushaur wa biashara nnyoweza kuifanya kwa mtaj wa lak 1.
 
Ungetaja uko mkoa gani ili tuweze kukushauri
 
Sema uko wapi, tafuta baiskeli au pikipiki kanunue maziwa vijijini leta mjini utapiga pesa mbaya, mtaji wa 50 000. unauza 90 000. faida 40 000. hii ni kwa siku.

Hayo maziwa yanauzwaje kwa lita? Na atakuwa anabeba kiasi gani kwa siku?
Analipwa keshi au anakopesha?
 
napenda kuwa wazi basi,,,wapi yanapatikana?

Yanapatikana serengeti wakuu,kuna geleza linaitwa tabora B. Pale unapata utakavyo kwani wanang'ombe nyingi sana, pia ukitaka ulaiani napo yapo ya kutosha, nimefanya hii kitu hadi nikanunua toyo. bahati nzuri na ajira nikapata nikaajiriwa sehem tofauti. ila niliipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…