Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Wakuu naleta kwenu omb lang la msaada kwa yyt anaefaham mambo ya biashara, naomba anshaur biashara nnayoweza kuifanya kwa mtaj wa Tsh. 100,000/= tu.

Nenda ukabet muue man u
 
Fuga kuku, nunua majike wane, na nunua tenga za kuwafunikia usiku,anza kufugia nyumbani na usiku tandika mifuko sebureni na wafunike na tenga, wakitaga na kutotoa utakuza mtaji
 
Kuna uzi kama huu humu jf, kuna jamaa alikuwa na laki moja na nusu, nimempa usauri na sasa yupo vizuri. Tafuta huu uzi
 

Thread ni ya mda kidogo,naweza kukutafuta sasa tukafanya biashara?
 
Kaka fanya uchunguzi mahali unapoishi kuna shida ya nini. Inaweza kuwa maji n.k halafu igeuze hio shida kuwa ntaji wako wa kujipatia fedha kama hamna maji hapo mtaani unaweza kununua tanki ukawa unauza kwa ndoo sh 400 n.k
 
Mmi nina laki sita naweza kufanya biashara gani?

kama kweli una nia ya kutafuta fedha,jichanganye kwenye maeneo yanayouza pombe za kienyeji,huo mtaji kwa muda mfupi utaongezeka sana.kama vp unaweza kumix na ndum kimtindo
 
kama kweli una nia ya kutafuta fedha,jichanganye kwenye maeneo yanayouza pombe za kienyeji,huo mtaji kwa muda mfupi utaongezeka sana.kama vp unaweza kumix na ndum kimtindo

duh!!! huu ushauri wa kibabe
 
Kuna watowa ushauri humu dah ni hatari tupu,
Spare za magari mfano wa scania.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…