Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hyo hela ndugu utaumiza kchwa tu
nyingi hii
anaweza tafuta biashara ndondogo
vitafunwa
vocha na akiwa si mfuja pesa anajiongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo hela ndugu utaumiza kchwa tu
nyingi hii
anaweza tafuta biashara ndondogo
vitafunwa
vocha na akiwa si mfuja pesa anajiongeza
Kwa mtaji wake hii haitatoshaTafuta sehemu ambayo frem rahisi fanya biashara ya vinywaji maji,soda na juice za cartoon anza na carton chache tu au uza duka la vyakula vibichi kama sembe,mchele,maharagwe kwa rejareja anza na gunia moja moja la kila nafaka
Naunga mkono hojaNenda Ilala vizia wakifungua mitumba chagua mashati yaliyonyooka (sio Kwa kupiga pasi) piatia pitia watu wa maofisini...ndani ya miezi sita hiyo hela itakuwa imezunguka zaidi ya Mara kumi!
Nakuunga mkono. Ila tatizo vijana wanataka watajirike bila jasho. Napenda kumthibitishia mleta mada hiyo hela yake ni ndogo sana kwahiyo afanye mambo yanayowezekana na awe mvumilivukama upo Dar na hauna aibu na una muda au mtu wa karibu mwaminifj,nunua zile ice box wanaita madeli mawili,kisha nunua mwamvuli na ununue vinywaji kama maji,soda na juice kisha umpe kijana carton moja kama faida yake.
jioni akuletee pesa ya hizo carton zilizobakia,
ni kabiashara kanakodharaulika ila ukiwa na nia unakuza mtaji,
Thadei Mushi
mkùu usiumize kichwa, hii ndio jf, fanya hivi, nunua tv ya chogo nch 21,ni laki na nusu, nunua deki simsung, inauzwa 50000, nunua mbao na chongesha mabench, tumia laki moja, utapata mabench kadhaa. zunguka mtaan, utaona tu kunanyumba nying tu zinauwanja wa wazi. omba kujenga banda la miti, huku ukiezeka kwa bati mbovu au makuti. mwambie mwenyenyumba utamlipa kod ya 20000 kwa mwezi. so kwa miez mitatu utamlipa 60000, jumla ya bajet kwa kadilio la chini utatumia laki nne.laki mbili nunua azam tv, inauzwa laki moja, na fundi akifuna atachukua 20000, so kwa jumla bajet itakuwa laki tano na nusu. anza kuonyesha video show, kwa siku onyesha mikanda mitano tu, kwa kila mkanda kiwango cha chini ni 2000, je ukionyesha mikanda mitano, unawakika wa 10000, kwa siku, so kwa mwez lakitatu kama tanesco hawajakata umeme. ni hayo tu
Mmi nina laki sita naweza kufanya biashara gani?
Mmi nina laki sita naweza kufanya biashara gani?
tigo mombasa utauza sana na mtaji utakua
Ndugu yangu kama uko serious unataka kufanya biashara mimi nakushauri fanya biashara ya mtandao. Kampuni gani inafaa nitakuelekeza. NJOO WHATSAP 0763797853
Kama uko kwenye eneo unaloweza kupata hata robo heka ya shamba unaweza ukaanza na kilimo cha kisasa cha beans njegere utatoka mkuuu ndani ndani ya miezi mitatu tu utanipa matokeo ukiwa meno nje