Nenda Tandika sokoni asubuhi kuanzia j3-jumamosi kisha udake mashuka na mataulo wanauza bei poa sana kisha uza mtaani.
shuka wanaanzia 1000-5000 kutegemea na ubora na ukubwa .
pia unaweza kuchukua shuka za 1000 nyeupe ukashona foronya ukauza na shuka ukapandisha bei.
Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
vp biashara ya boda boda jaman? maana nataka kununua bodaboda kwa ajiri ya biashara
Hey guys,
Iam new to this society but nimekua nikiona wa2 mnapeana ushauri, i liked and told my self 'kwa nn nisiombe ushauri.'
Am 22 yrs male, just got a job although it sucks. Natamani kujiendeleza nitoke hapa na kupiga hatua nyingine, niko kazini mwezi wa 6 now nimejaribu dunduliza pesa and nimefikisha laki 5 but then nikajiuliza 'natunza pesa then nifanyie nini?' inachekesha ila kiufupi sina plan na ni mgeni katika maswala ya ujasiriamali, ningeomba ushauri wenu nijue biashara gani naweza kuifanya isiniharibie kazi yangu ya sasa na iniingizie kipato cha haraka.
Thanks in advance
Mkuu hapo inategemeana
1: unakazi gani saiv uko
2: uko mjin au kijijini ,~~~~~~~~~~lakin kama uko kijijini fuga kuku wa kienyeji,
Kama uko mjin
1: fungua biashara ya kibenki , tigopesa au M~pesa ,
2: ukianza kuuza matunda sio mbaya maana inalipa na unacheza na akili maana huaga mali oza , position nzuri itakufanya kupata Wateja wengi zaidi
Mkuu, Ridisha Wateja wako pamoja na KAULI NZURI
kama upo town fungua genge uuze vitu kama nyanya, hoho, ndizi, n.k, tafuta sehemu nzuriNiko mjini mkuu hizi biashara za kibenki mtaji wake hua ni bei gani kwa mtandao?
kama upo town fungua genge uuze vitu kama nyanya, hoho, ndizi, n.k, tafuta sehemu nzuri
Wew siyo mwaka wa kwanza kweli? Ukute boom limetema sasa unaanza kuipigia biashara.
hiyo laki tano inakutoa kabisa, nunua kopo moja la carolight, mafuta ya nazi, nenda karume kuna vimini, vitopu na leggings za bei rahisi, nunua perfume ya bei ndogo, halafu kila ikifika jioni tafuta baa yeyote kubwa ingia na uchukue kinywaji chako anza kunywa, jitahidi kutabasamu pale unaposalimiwa na wateja wengine na uwe unatoa ushirikiano kwa kile wanachokuambia, baada ya mwezi hiyo laki tano itakua imejizalisha na kuwa millioni tano!
nakutakia kilala heri usisahau kuleta mrejesho!