Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

1.Mgahawa mdogo,
2. Kuuza Vitafunwa,
3.Kuuza Mitumba,
4.Kuuza matunda(more risk), 5.Kuuza chips,
6.Kuuza Vyombo vya chakula, 7.Kusupply chakula kwenye maofisi au sehemu za biashara, 8.Kuuza vinywaji baridi(soda+ Maji),
9.Kuuza chenji(hii ukipata position nzuri mtaji unakua haraka faida kwa hiyo ni 100,000/= mpaka 150,000/= kwa siku ukiizungusha laki tano yote per day.
 
Watu wanaoanza na mitaji mdogo mara nyingi huwa na mafanikio makubwa kwenye maisha yao.
Mhimu uheshimu malengo, utafanikiwa tu. !
Tupa kule,hizo ni habari za zamani zilizotiwa chumvi mnoooo.mwaka huu hutoki kwa 100,000 utaishia hela ya kula na vocha
 
Nina laki moja naweza kuiwekeza wapi ili nipate faida mara mbili au zaidi?
Mkuu kwanza hongera Kwa kuwa Na ujasiri wa kuuliza.kwa hizo pesa Zina weza kuwa ndefu Kama ukiwa nje ya mji. Kama uko DAR unaweza kwenda Mlandizi au Chalinze hizi sehemu nyumba ni rahisi Na mashamba ya mihogo ni mengi. Nenda kwenye mashamba unanunua
Mihogo ukubwa 10 Kwa 20 Kwa elfu 60 Au 70
Au 10 Kwa 10 Kwa elfu 40 mpaka 60
Ukivuna una pata viroba vya kilo 50 Kama 7 mpaka 10
Kila kiroba Mlandizi sokoni kinauzwa 25,000.
Na ukipeleka DAR bei Ni kubwa zaidi.
Vilevile unaweza ukawauzia kina mama lisha Au wakaanga mihogo.
Usafiri toka kwenye mashamba 20,000.
Kabla hujafanya hayo yote. Tafuta soko la mihogo uliza wauzaji ukipata majibu mazuri
Anza kazi.
Nakutakia kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…