Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 586
kama ulishakwisha kutumia hata njia mojawapo njoo ulete mlejesho mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banda la chips minimum siyo chini ya mtaji wa laki 5 hapo ni pembeni na pangoFungua banda la chips mkuu, cjui upo wap kama ni dar itakutoa braza, fanya utafiti wamazingira mazuri
Nichek 0658936439Naomben ushauri wenu wakuu
Ama kweli binadamu amekuwa kitu cha ajabu sanaTukaandikishane kwa balozi,unipe hiyo hela.Niakurudishia 700,000 mWEZI WA 12.nI pm kAMA UKO TAYARI.
Mbona wewe njemba una dalili zote za kula kona na pesa ya mwenzako, unatoa riba kubwa hivyo 700000 kwa miezi mitatu tu hapa kuna kauongo, yani unazizidi taasisi za fedha kama BANKERS, UTT, EXIM.... jitahidi ukidanganya usidanganye sana...kwa mfano bank kwa hiyo miezi mitatu wamejitahidi sana wamekupa riba ni 80elfu...Nipe mimi tukaandikishiane hata mahakamani,baada ya miezi 3 ntakurudishia 700,000/=
habari wadau, nina laki tano naweza kufanya biashara gani inayolipa kwa mtaji huo hapa mjini, (dar es salaam).
habari wadau, nina laki tano naweza kufanya biashara gani inayolipa kwa mtaji huo hapa mjini, (dar es salaam).
UMEMALIZA MKUU....MANENO YA MSAADA SANA HAYA WALAHI....Mkuu kuna biashara moja matata sana, unaweza kuwa unanunua mifuko ya rambo kwa jumla halafu ukawa unasambaza kwa retailers, jaribu utaleta majibu
Kwa mtaji huo wa laki 5 unaweza kuajiri na mtu kabisa mkawa mnasambaza
Unaweza kuonekana mjinga mwanzo lakini utaeleweka baadae
Kumbuka "watu waliofanikiwa walianza biashara zao kwa udogo na kwa kudharaulika, lakini ndio wanatesa mjini saivi"
Usisubiri upate mtaji mkubwa ndipo uanze biashara, kilekile kidogo ulichonacho mkononi ndicho kitakuokoa na kukupa heshima!
Daudi alimuua msumbufu Goliath kwa jiwe na kombeo pekee, Musa aligawa bahari ya shamu kwa kutumia fimbo tu,
Mafanikio yanaanza na ulichonacho mkononi
Wengi wamefail na kukata tamaa maishani baada ya kukaa kusubiri vitu au mtaji mkubwa ndipo waanze kazi
Epuka na hao sana
Kwa ushauri zaidi nitafute
habari wadau, nina laki tano naweza kufanya biashara gani inayolipa kwa mtaji huo hapa mjini, (dar es salaam).
....we fala nini!..ukae na hela ya mtu kwa miezi 8 umpe faida laki 2??...acha udwanzi,ungekuwa wewe ungekubali?Tukaandikishane kwa balozi,unipe hiyo hela.Niakurudishia 700,000 mWEZI WA 12.nI pm kAMA UKO TAYARI.
mkuu ningependa kupata uzoefu zaidi wa hii biashara please nicheck kwenye 0657145555 tuangalie namna ya kuanzaKuwa Reseler wa Website Hosting
Unatafuta mtu anakufungulia Website kwa ajili ya Hosting Services
Unanunua Kifurushi cha Hosting Mfano kwa ipage Ukitaka kuwa reseler unalipia 90,000 Kwa mwaka kazi yako ni kuuzia watu hata ukiuza 6000 kwa mwezi itakulipa mana ni unlimited ambayo kwa mwaka mteja atakulipa 72,000
Hapo ukiwa na wateja 50 kwa mwaka ni 3,600,0000 ni sawa na unapokea mshahara kwa mwezi 300,000
Unaweza kupata wateja hata 100= 7,200,000 Kwa mwaka na ukumbuke kuwa hao ni wa mda wote hivyo unakuwa na uhakika wa kuvuta mkwanja kila mwaka
90,000 Kununulia Hosting
200,000 Unatumia kwa website
100,000 Matangazo fb unabakiwa na balance
Kwa maelezo zaidi Ni Pm mana huku huwa nachungulia.
KAMA WE NI FUKARA,BASI USIMDHANIE AMBAE UNAMUONA NI FUKARA KAMA WEWE!punguza masifa,hutafika popote!hebu hiyo 200m iandike kwa tarakimu kamili,sitoshangaa kukuta hujui hata ina sifuri ngapi?
Mkuu nakupataje unipe maujanja ya website hostingKuwa Reseler wa Website Hosting