Dah kweli vip utakua na details zozote kuusiana na iyo biashara na yan gunia la viazi sh ngap na kwa gunia naweza pga bei ganbiashara ya chips mkuu ukipata location nzuri na mpishi mwaminifu na msafi mambo yako yatakuendea sawia
Habari ya mchana,kama heading inavyojieleza hapo juu wakuu nimedunduliza kama kiasi cha shilingi laki tano nnazo na nahitaji kufungua kaduka nyumbani kwangu ili walau wife nae aungeunge kuongeza kipato flemu INA shelf tayari na siilipii ninachohitaji msaada wenu kunipa mwanga was biashara hii ya duka juu ya mtaji nilionao na nitawezaje kuukuza mtaji huu kwa haraka,msaada wakuu.