Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari za Siku Wana jf. Nahitaji msaada wa mawazo kama nlivyosema hapo juu kwenye kichwa Cha habari. Location ni Dodoma mjini. Baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha hoja.
 
Kwan hii ideal ya kuanzisha grocery unaichukuliaje
 
Njia ya mpunguzi kuna nyanya na dhabibu, panda hizo hiace asubuhi kusanya peleka majengo pale mahitaji ni makubwa utatoka kwa urahisi. Ukikosa wateja nisitue nikutafutie wengine
 
Fanya uchuuzi bro. Chukua viatu karume kwa being cheer then zungusha mtaan..au tafuta belo la mitumba
 
chkua vguo vya wadada vya juu na chin vya mtumba zen wavimodoa kidogo... ,,, tafta meza ya kishkaj kwa mtu town mwaga nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…