THE POGORIAN MACHINE
Member
- Jul 27, 2016
- 49
- 14
Habari za Siku Wana jf. Nahitaji msaada wa mawazo kama nlivyosema hapo juu kwenye kichwa Cha habari. Location ni Dodoma mjini. Baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mim nimefikiria vitu vitatu 1. Kuuza Rambo 2. Kuuza viatu vya kike. 3. Kuuza nyama choma vyuon wakat wa usiku. Sasa xijui kip bora na kitafaa zaid Kwa kuanziaWeka mawazo yako kwanza tupate pa kuanzia.
Mim nimefikiria vitu vitatu 1. Kuuza Rambo 2. Kuuza viatu vya kike. 3. Kuuza nyama choma vyuon wakat wa usiku. Sasa xijui kip bora na kitafaa zaid Kwa kuanziaWeka mawazo yako kwanza tupate pa kuanzia.
Mim nimefikiria vitu vitatu 1. Kuuza Rambo 2. Kuuza viatu vya kike. 3. Kuuza nyama choma vyuon wakat wa usiku. Sasa xijui kip bora na kitafaa zaid Kwa kuanzia
kuuza Rambo means kuuza mifuko ya Rambo mkuuNyama hapana! Hiyo biashara ailipi MKUU! Labda viatu, na kuuza Rambo! Ndio nini? Au ndumu?
Ndiyo Eneo ni la chuo mkubwaeneo ni la chuo?
Sawa mkuu nashkuru lakin naomba mawasiliano yakoNjia ya mpunguzi kuna nyanya na dhabibu, panda hizo hiace asubuhi kusanya peleka majengo pale mahitaji ni makubwa utatoka kwa urahisi. Ukikosa wateja nisitue nikutafutie wengine
Iko poa mkuu tatizo pesa haitatosha mara kujenga banda nn cdhan km itatoshaKwan hii ideal ya kuanzisha grocery unaichukuliaje
fungua restaurant, au kibanda cha chips. pia unaweza kuuza nguo za wadada navsimple shoes au malasta na weaving.Ndiyo Eneo ni la chuo mkubwa
K, sawa mkuu nalifanyia kazfungua restaurant, au kibanda cha chips. pia unaweza kuuza nguo za wadada navsimple shoes au malasta na weaving.
Mikese ndo wapi huko mkuu? Na mm naona hiyo inanifaaNenda mikese kachukue kuku wa kienyeji njoo uuze hapa shekilango ova