lil_nocran
Member
- Jul 10, 2014
- 46
- 18
Huyu jamaa kwa bila shaka ni booonge la bilioneaDu kwa mtaji huo?ningeweza kusema ufungue shoe shine lakin hauta tosha,basi fanya hiv nenda JF saccos iweke hiyo hela ugenerate three time upate angalao laki 6 labda utaweza fanya kitu.
Kuvipi mkuu nahiyo shoe shine ikoje..!!??Huyu jamaa kwa bila shaka ni booonge la bilionea
Mkuu si umeona majibu yake juu ya mtoa post.Kuvipi mkuu nahiyo shoe shine ikoje..!!??
KubetiLaki 5 unaweza ukafanya biashara gani ili ikue fasta
Unaweza anza biashara kwa muda wako wa ziada kwa mtaji usiopungua milioni moja laki moja na baada ya muda sio mrefu na mafanikio kuonekana unaweza kufanya maamuzi ya kufanya muda wote au kuwa na maamuzi yako binafsi, biashara hii itakuwezesha kuwa na mfumo wa kipekee wa maisha, kuwa na kipato cha ziada, kuwa na muda wa kutosha kukaa na familia yako....tuwasiliane kwa maelezo zaidi 0718512775
At a mie nafikiri itakua foreForever hiyo kama anabisha aje abishe hapa