Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Miongozo wakuu, kwa wenye uzoefu au wanao juwa uwekezaji wa biashara ya matairi, unahitajika mtaji kiasi gani, supplier wa jumla jumla wapo wapi, je TRA chao ni TZsh ngapi? Changamoto ni zipi pia, tuanze hapo wakuu, hatua kwa hatua hii biashara unaanzaje
 
Du kwa mtaji huo?ningeweza kusema ufungue shoe shine lakin hauta tosha,basi fanya hiv nenda JF saccos iweke hiyo hela ugenerate three time upate angalao laki 6 labda utaweza fanya kitu.
Huyu jamaa kwa bila shaka ni booonge la bilionea
 
Kuvipi mkuu nahiyo shoe shine ikoje..!!??
Mkuu si umeona majibu yake juu ya mtoa post.



Hiyo laki5 anavyoifikilia juu ya biashara inayofaa.

Inadhihirisha ni mtu si wa mchezo kifedha.
 
Mkuu ni vyema ukaitaja hapa tukajadili pamoja.kwa wale wataipenda au kuvutiwa nayo ndio mawasiliano yatanzaa baada ya wana Bodi kuchagia mkuu na wajumbe kufahamu vizuri hilo wazo la biashara
 
Mmmh kwanini usituambie ni biashara gani, unafanya siri. Sina imani na ww
 
Hiyo biashara au usanii?
Unaweza anza biashara kwa muda wako wa ziada kwa mtaji usiopungua milioni moja laki moja na baada ya muda sio mrefu na mafanikio kuonekana unaweza kufanya maamuzi ya kufanya muda wote au kuwa na maamuzi yako binafsi, biashara hii itakuwezesha kuwa na mfumo wa kipekee wa maisha, kuwa na kipato cha ziada, kuwa na muda wa kutosha kukaa na familia yako....tuwasiliane kwa maelezo zaidi 0718512775
 
hio biashara nafkiri ni ile ya kuvalishwa tai na foengo kutembeza mabakuli
 
Habari zenu wapendwa

Bila shaka muwazima wa afya. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Nimejibana bana mpaka nikapata laki tano kutokana na maisha yalivyo magumu nkaona niombe ushauri kwenu wadau.

Je, hii pesa naweza kuifanyia biashara gani ambayo haitachukua muda wangu sana manake kuna shughuli nyingine nafanya.

Nipo Dar Mbezi Makonde. Naombeni ushauri wadau angalau niweze kuingia risk huku na kule maisha yaende.

Asanteni..
 
Back
Top Bottom