Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Fungua Au Fanya Utafit Kwenye Haya,

1, kuuza mkaa Biashara2000 atakupa maelezo zaidi,

2. kama upo mjini tafuta stendi uza vinywaji (fridge mbovu weka barafu ) including viroba, pipi na maji ya kufunga ila uwe na lugha nzuri,

3, kuna mtu kasema shule za msingi yupo sahihi sana nayo inalipa,

4. kigoli cha kuanza matunda mfano pale uhasibu (tia) kuna nyomi la watu fuata nanasi uza nyingne menya vpande 200,

5! jfunze kupka bites haswa vitumbua au chapati ila hapa usafi unahtajka,

6. fungua genge la kuuza vitu vya kupka not duka la vyakula,

7 kama una mbavu ya kutosha hamasisha mateja wa kituo kdogo muunde kikundi uwasaidie v2 vdogo wataka kupga ndumu unawawezesha ila wanakupa ile pesa wanayopewa na makonda! biashara nying sana tatzo una muda, huna aibu, na moyo wa imani na subira! ufanikiwe
 
Moja kati ya biashara unazofanya kama hitojali
 
Kama upo eneo linalofaa kwa ufugaji Anzisha mradi wa kufuga kuku wa kisasa unaweza kuanza na kkuku 25 hyku kwa makadirio ya kuku 15000Tsh hapo utanunua majogoo 5 na mitetea 20 then unaanza MDOGO MDOGO
idea nzur ila nna swal yan io lak3 yote inatumika kwenye kuku tu?.. suala la banda , msoc na dawa lpo nje ya hyo pesa?
 
Ushauri wako nmeupenda michael n nmegain something
 
Natumai Rabuka anajaalia wana JF kudra kenyekenye.

Ndugu zangu,

Mimi ni kijana wa kiume. Katika uchakarikaji wangu nimejikusanyia tsh laki tatu na nusu. Natamani niiwekeze kwenye shughuli itakayoniwezesha kusogea mbele ki mapato kuliko kuitapanya ovyo maana hela haiwekeki mfukoni.

Wajuzi wa JF, naombeni mwanga niiwekeze kwenye nini. Niko Kigamboni.

Karibuni sana kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…