Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tuna ku pm wengine had whatssap lakin hutujibu mkuuKijana kuna uzi nimeuweka unahusu biashara ya viatu vya mtumba vya kike na kiume kutoka jamhuri ya korea
viatu tunauza kwa bero na vinakuwa mchangayiko kama vile open shoes simple viatu vya mpira boot vya ofisi raba n.k
bei zetu ni kama ifuatavyo.
vya wanaume sh. 220000 kwa bero moja na inapungua kutegemeana na idadi ya bero za mteja
vya kike 130,000 na inapungua kulingana na idadi ya bero anazochukua mteja
NB. bero moja la viatu vya kiume lina wastani wa viatu pair 55 hadi 60 Kwa kawaida 60
vya kike pair 80 hadi 90
PIGA SIMU NAMBA 0758176058 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka oda ya mzigo. Pia inapatikana kwa watsap
Viatu ni vya ubora wa hali ya juu na vinaenda na wakati na vingi vinakuja vikiwa kama vipya kwa maana havijatumika sana
TUNAPATIKANA CHANG'OMBE DAR.
KARIBU SANA NA HUWEZI JUTA......
madukwappa wewe ni dalali? Mbona hautoi ushirikiano kwa wateja, mtu wa tatu sasa huyu anasema hapati ushirikiano na wewe!!!!! wateja tupo wengi kama una ushirikiano. duka lipo sehem gani?Nimekupigia simu pamoja na mesej ila hukunipa ushirikiano
Safi sana mkuu umenifungua sana mana wiki hii nzima nilikuwa nafikiria njia bora ya kusafirisha mzigo ila kuna supplier toka alibaba sijaona video ila anatumia pia paypal na kanipa na namba yake nachat na mzigo kaniambia una 28kg ndio nataka niwasiliane na silent ocean nijue pia kama una makampuni yanayotumia ndege ambapo ulisema kg1 ni $5 tupe link. Ahsante sana
Muendelezo...
Baada ya nukuu na mtiririko huu:
a.utakuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote ndani na nje ya nchi
b.utakuwa bora katika kutambua fulsa sahihi na kwa wakati sahihi
c.utakuwa mwepesi kubadilika kulingana na mazingira ya kibiashara na wakati
d.utajua tabia mbalimbali za watu hasa wakiwa kama wateja(tabia za wateja)
e.kuwa bora katika negotiations mbalimbali hasa za kibiashara
f.kuweza kwenda miji mikubwa duniani ya kibiashara bila mwenyeji na ukawa kama mwenyeji
g.kufanikiwa kimapato katika muda mfupi
h.kuwekeza pesa yenye kukupa faida kwa 100% jambo ambalo biashara nyingi za sasa zimeshindwa
i.na mengineyo
NB:Kwa mfanyabiashara wa Zhejiang, Yiwu,Guangzhou, Bangkok, Dubai,Paris,Shanghai na miji mingine unakaribishwa kwa nyongeza yoyote,lengo tufahamishane...kile unachofanya katika miji io...umoja ni nguvu,Tanzania na uTanzania ni tunu,tuisimamie.
Itaendelea. ..
Mh! Mwalimu mwenyewe hata kuandika hajui. Kaaaazi kweli kweli!
Mkuu asante sana kwa elimu murua ubarikiwe!! mi nina swali mfano kwa mkazi wa mbali na dar kama mimi nipo Arusha!! kuwa wasafirishaji au nitalazimika kuja dar!!
Apreciated!
Huo mwendelezo ni mpaka lini?
Naomba kuuliza swali hivi paypal kama mzigo utakuwa haujafika wao wataweza ku refund au ni alibaba.