Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

How much have given to street children? Or people with no money!!! Who are people with no money? My friend kama huwezi kushauri ni bora ukakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Natoa chochote ninachopata. Matajiri wengi duniani wamefanikiwa kwa kua na moyo kwa watu wengine kama huna moyo kwa watu wengine my friend do not ever try doing bussiness you will not succeed forever untill you die. Mark my word.
Dont try to do business with no plan, the plan is what will u give to the people which has value and not the so called money marker plan.
Keep u head empty with no bussiness knowledge and think some one will feed u with knowledge of bussiness.
Endelea kua kiraza na 500k yako, continue work for money to pay bills
 
Bro its true i have 500k and i want to make some bisiness but doesnt mean my life depends on that 500k, its my plan to make profit from 500k as my party time job and it will be my testimony if i will succed but we ndo kiraza mi nawaza jinsi ya kugenerate my money afu unaniambia katoe sadaka my friend are u sober?

Ukiwa na akili ka hiz bora tu uchemxhe ubongo unywe supu mana hamna kitu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro its true i have 500k and i want to make some bisiness but doesnt mean my life depends on that 500k, its my plan to make profit from 500k as my party time job and it will be my testimony if i will succed but we ndo kiraza mi nawaza jinsi ya kugenerate my money afu unaniambia katoe sadaka my friend are u sober?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usingekuja kuuliza humu jamii forum kama ulikua na knowledge ya biashara. Endelea kufanya kazi kisa kupata hela ulipe bill iishe au piga pasi ndefu ndo uweze kusevu kama ka 500k.
Hivi unataka kuanzisha biashara kwa 500k ulichonacho. are u serious ata muuza matunda sikuizi anaanza biashara na 1m labda ukodi chumba uwe kaka poa
 
Naombeni ushauri wenu ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jitahidi sana katika ' Kongamano ' la Fursa 2017 linaloandaliwa na Clouds Media Group litakalofanyika Mkoani Arusha kuanzia Ijumaa na Jumamosi ijayo uwepo kwani naamini utatoka na ' Kitu ' cha maana kutokana na kwamba Wawasilishaji wengi ni Wataalam wa masuala mazima ya Uchumi na Ujasiriamali hivyo watakusaidia mno lakini pia ' utahamasika ' kwa ' Shuhuda ' ambazo utakutana nazo kutoka kwa Watu waliofanikiwa Kimaisha huku wao wakianzia tu na ' Mtaji ' wa Tsh 50,000/ hadi Tsh 100,000/ wakati Wewe una Tsh 500,000/ kama Mtaji wako wa kuanzia.

Kila la kheri Mkuu.
 
Kila laheri mkuu usjali haya yanayokatisha tamaa jaribu pitia references mbalimbali utavutiwa na moja wapo utavutiwa ufanye
Otherwise kila laheri na Mungu akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angalia clouds sasa wakati tunakutafutia majibu
Clouds wale ni washauri na watia moyo tu sio mamotivator utanimotive vip wakati wewe maisha yako ya kawaida tu mfano mrisho mpoto yule mtangazaji wa 360 sjui hasan motivator tz may be shigongo sawa hawa wengine no ma watia mioyo tu
 
binadamu anatakiwa aonekane katika maeneo matatu nafsi roho na mwili ,tuyaache hayo watu wa kiroho wanayajua zaidi, lakini lililo nzuri na tunalotakiwa kujua uonekano wa binadamu wa nje wa sasa ni mwenekano au umetengenenzwa na binadamu wa ndani.
hivyo wanachofanya clouds ni kumtengeneza mtu wa ndani akubali kubadilika ili aweze kukabiliana na changamoto zake. nimefanya hiyo sehemu kwa zaidi ya miaka tisa sasa na nimeona watu wakibadilika na wengi wakinipita kimaisha pia. lakini sina wivu nao kwakuwa walinilipa kwa kazi hiyo.
chakukushauri ni kwamba chagua mawazo matatu ambayo ungependa kufanya ili tukushauri vizuri
 
habarini wana jukwaa.
niende moja kwenye mada yangu, nataka nimpe dada yangu mtaji tajwa hapo juu ili aendeshe maisha yake.

naombeni msaada wa mawazo ni mshauri afanye kitu gani? maana yy kama yy hana wazo la biashara yyte ile.
nafanya hivi kwakuwa nimechoka kuombwa hela kila baada ya siku 2....

naenda na dhana ya usimpe mtu fedha bali mpe mtaji.......
asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani napenda sana bishara ila nina mtaji wa Tsh. 100000/=
Sasa nashindwa nifanye biashara gani

Tafadhari wa bishara za mtandao usije kunishauri niiingie siju mara trevo sijui oilfrem sijui forever 4cooner nk sitakikkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa

Naitaji biashara ya kawaida tu sio mamitandao
 
habarini wana jukwaa.
niende moja kwenye mada yangu, nataka nimpe dada yangu mtaji tajwa hapo juu ili aendeshe maisha yake.

naombeni msaada wa mawazo ni mshauri afanye kitu gani? maana yy kama yy hana wazo la biashara yyte ile.
nafanya hivi kwakuwa nimechoka kuombwa hela kila baada ya siku 2....

naenda na dhana ya usimpe mtu fedha bali mpe mtaji.......
asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hana wazo achana naye maana apo ata tukikushauli kwake kazi bule tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom