Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ndugu yangu hii lugha yetu sasa hivi inazidi kujitanua. South Africa washaipitisha kufundishwa mashuleni, na walimu wa kufundisha watatoka hapa hapa Tanzania.

Sasa kama tukiendekeza huu uozo, Mataifa mengine yatakuja kuwa na kiswahili fasaha mbeleni ili hali sisi tukabaki
uozo unao anzishwa na kizazi hiki.

Tafakari hilo kabla ya kupost kitu.
 
Hbr ya uzm wana Jf
Nina mtaji wa sh 300,000
Naomba ushaur wenu nifanye bihashara gn niko kahama
Samahani rafiki hivi ni kuhanzisha ama kuanzisha? Angalia heading vena ukarekebesha spellings
 
Acheni kejeli nyie mnaojiona wasomi,kwani kumuelewesha mtu kuna shida gani?nyie wenyewe mnajua kabisa hali halisi ya elimu ya nchi yetu, nae hajapenda kuwa hivyo ila ni elimu kandamizi ndio imemsababishia hiyo lugha
 
Yaani sijui tukoje ilikuwa ni kumuelimisha tu na kumsaidia mawazo ya suala lake. Tuache ujuaji.

*Mchango wangu(Nitauweka kwa ujumla) *
-Sijajua upo maeneo gani, Fikiria biashara ya chakula kama mihogo au viazi vitamu (vyakula aina hiyo)maeneo yenye watu wengi kama stendi. Fanya katika usafi pia mtafute kijana msaidiane.
Kila la kheri
 
Fanya biashara unayoipenda na kama huna biashara hata moja unayoipenda bhasi biashara si mahala pako
 
Yaani sijui tukoje ilikuwa ni kumuelimisha tu na kumsaidia mawazo ya suala lake. Tuache ujuaji.

*Mchango wangu(Nitauweka kwa ujumla) *
-Sijajua upo maeneo gani, Fikiria biashara ya chakula kama mihogo au viazi vitamu (vyakula aina hiyo)maeneo yenye watu wengi kama stendi. Fanya katika usafi pia mtafute kijana msaidiane.
Kila la kheri
Heshima kwako mkuu
 
HANZISHA banda la chips kuku karibu na hostel za kina dada mkuu![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom