Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Msaada kwenye tuta jaman nna laki5 ipo tu nataman nifanye biashara ila sijui kwa kiasi hiki n biashara gan itafaa so naomba msaada wa mawazo??
 
Msaada kwenye tuta jaman nna laki5 ipo tu nataman nifanye biashara ila sijui kwa kiasi hiki n biashara gan itafaa so naomba msaada wa mawazo??
Mkuu,Kama uko serious uko tayari kupiga kazi kwa bidii na maarifa basi nicheki PM
 
Kwanini usitoe mchanganuo hapa hapa hadi mtu akufate pm?, saidia wengi hapa tutakushukuru baadaye.
Mkuu,simwagi mchele kwenye kuku wengi.Kama mtu anaona PM ni mbali hata nikiweka hapa haitaweza msaidia.Kama mtu anahitaji kweli msaada na ushauri PM hapawezi kuwa mbali kiasi hicho.Wewe nawe una mtaji wa kiasi hicho?Karibu PM.Hutajuta
 
Mmmh, CONSULTATION FEE ni sh ngapi?, afu pm utajibu wangapi si kama utachoka sana? kuliko ungeweka hapa.
 
Mmmh, CONSULTATION FEE ni sh ngapi?, afu pm utajibu wangapi si kama utachoka sana? kuliko ungeweka hapa.
Kila atakaye ni PM nitamjibu kwa kadiri,Consultation Fee ni mpaka uone kama huduma yangu inakufaa kwa mazingira yako na mahitaji yako
 
Kila atakaye ni PM nitamjibu kwa kadiri,Consultation Fee ni mpaka uone kama huduma yangu inakufaa kwa mazingira yako na mahitaji yako
Aah ok nimekuelewa sasa maana yako kutualika PM, una akili kubwa mkuu.
Ila ungeanza kutudokeza kwanza then tumiminike huko pm na fees mkononi, ila hivi hivi mmh.
 
Hili bonge la wazo ingawa wengi wanaponda sana. Ninakolima shamba mkaa loba lumbesa ni Tshs 10,000/= na GOMS mkaa loba ni 50,000/= sababu jirani na ndiko unakofikia toka pori lakini unavyozidi kuingia mjini bei inafika mpaka Ths 80,000/= kwa gunia. Kwa kuuza rejareja hutakosa 80,000/= - 100,000/= kwa gunia.

MI nategemea kuifanya ila mimi nitachukua hari lote yaani magunia yasiyopungua 28 halafu nauza reja reja.
Pamoja sana.

Ila inabidi aende site huko pori i ajue network yote na logistics za kuleta mjini. Kama ni mtu wa kukaa mjini kuangalia TV asahau kupata hela.
Biashara ya mkaa sio raisi Kama unavyodhani.
 
Hongera kwa hatua nzuri naona mwanzo mzuri kutoka kwako.
Nashauri ACHA papara kwanza.
Iweke pesa kwenye bank account au mpesa/tigopesa arafu tulia kama haipo hata kwa mwezi mmoja.

Muhimu jipe utulivu kwanza .

Sina wazo la kukupa kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa mnanifurahisha Sana, kwani huko Benji hawezi kuitoa?
 
Msaada kwenye tuta jaman nna laki5 ipo tu nataman nifanye biashara ila sijui kwa kiasi hiki n biashara gan itafaa so naomba msaada wa mawazo??
Kamata vijana 50 wanaozurura zurura mtaani,kila mmoja mpe birika la kahawa au uji aanze kutembeza, jion wakupe mahesabu
 
Utaenda kupoteza hela huko, Logistics za kuleta mkaa mjini lazma uwe CON-TAWA! Kuna hela nyingi sana utawaachia Maliasili hapo Road na lazma uwe na vibali vya kueleweka.

Sikukatishi tamaa ila nakupa alert. Hii michongo ya kupeana story vijiweni ishatu cost sana.
Yaani pesa yake inaishia kwenye vibali tu.
 
Msaada kwenye tuta jaman nna laki5 ipo tu nataman nifanye biashara ila sijui kwa kiasi hiki n biashara gan itafaa so naomba msaada wa mawazo??
Fanya biashara ya kuku wa kienyeji, unaweza kuanza na wachache tu. Mkoani tetea ni buku 7 mpk 9 jogoo kwenye 10 hivi kuna ushuru 200 usafiri elfu 10 na kuna tenga la kuwabebea ukifanikisha hayo bei huku ukiuza mwenyewe unajipangia tu 19-25 kulingana na ukubwa
 
Habari wana JF Shikamooni,

Mimi naitwa Lascoo ni mdogo wenu hapa JF(Najua mnashangaa kawanini nimesema ni mdogo wenu ila ni kwamba nafahamu humu asilimia kubwa mmenizidi umri) naishi Ubungo. Dar es Salaam, Kama kichwa cha uzi kinavyojishow hapo kwa fasi ya juu.

Nimekuwa nikihangaika sana kutafuta na kujiuliza kuwa ni biashara gani naweza kuifanya kwa hapa DSM na ikanitoa ikiwa mtaji wangu ni mdogo tuu wa kama 300k (laki tatu) tu, mimi sio sharobaro wala bishoo kwa maneno mengine wengine wanavyojiita, hivyo sichagui kazi bali naangalia maslahi tu.

Ahsante,[emoji1431]
 
Back
Top Bottom