Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nani bro?Sharo milionea[emoji106][emoji106]
Mkokoteni sh.ngapi?Tafuta mkokoteni mzuri weka matunda aina zote anza kuuza
Kati ya 70k-150k inategemeana na negotiation zako na pia tyre kama utaweka za pkpk au za baskeliMkokoteni sh.ngapi?
Nenda jukwaa la biashara kuna uzi umewekwa na LuqmanHabari wana JF Shikamooni....
, mimi naitwa Lascoo ni mdogo wenu hapa JF(Najua mnashangaa kawanini nimesema ni mdogo wenu ila ni kwamba nafahamu humu asilimia kubwa mmenizidi umri) naishi Ubungo..Dar es Salaam, Kama kichwa cha uzi kinavyojishow hapo kwa fasi ya Juu,
Nimekuwa nikihangaika sana kutafuta na kujiuliza kuwa ni biashara gani naweza kuifanya kwa hapa DSM na ikanitoa ikiwa mtaji wangu ni mdogo tuu wa kama 300k (laki tatu) tuu...mimi sio sharobaro wala bishoo kwa maneno mengine wengine wanavyojiita....hivyo sichagui kazi bali naangalia maslahi tuu.
Ahsante,[emoji1431]
Hio inafanywa na wengiNunua Protector za simu Bei ya jumla 1 inauzwa 500,wewe kwa mtaji wako wa laki una uwezo wakununua protector za simu zote zilizopo hapa nchini ukazungusha,uza kila protector 2500 tu nakuhakikishia Utachomwa sana na jua Utachoka sana lakini utarudi nyumbani na faida isiyopungua 30,000 kwa kila siku kutegemea na umeanza kazi saa ngapi na umefunga kazi saa ngapi.
Uza bangi au ugoro haifanywi na wengi au unaweza nunua kete za unga ukazungusha
Ndo nani bro?
Au iyo laki 3 umetoa wapi mdogo wetu? Kama uliiba basi rudisha kama umebet basi bet tena ila ushauri wangu ni stop being coward zama street au nunua nguruwe uuze nyama kwa kilo and usi mess up
Naleft
Asante imekaa vizuri.Njoo hapa nikuambie. Jaribu hii:
kufuga kuku wa kienyeji;
mchanganuo:
-Tsh.60k kwaajili ya kujenga/kuandaa banda, chakula na virutubisho vya kuku.
-Tsh.50k kwaajili ya kuku wa kuanzia. Usinunue kuku wakubwa, ni ghali sana na wanakua used/wametumika sana, nunua kuku wadogowadogo waliotoka tengana na mama yao sio muda. Kwa huku (ir) bei ni tsh.5,000 so hapo utanunua kama 10 hivi. Ila make sure una mix, majogoo mawili ni tosha kabisa, vongine vijike (tetea).
-najua vitu kama maji, mtu wa kuhudumia huna haja ya kuajili mtu. Wewe mwenyewe husika maana bado ndio unaanza.
-Hadi hapo unakua umetumia Tsh.110k tu. Nyimgine iliobaki weka kwaajili ya backup ya madawa, chakula, pesa ya kumlipa docta (hii muhimu sana, usiwe bahili kuwalipa wale jamaa, ata kama kuku zako ziko poa kiafya, muite azicheki tu, sio gharama, akija mara moja unaweza mtoa buku 3 hivi fresh)
-Kuku (hao madogo ulionunua ambao umri wao ni kama miezi 4 hivi) watachukua tena kama miezi 2 ili waanze kutaga au ata kuuza. Hapo pesa itaanza kuzunguka.
Baada ya hii stage, hujamaiza:
-unaweza anza na kufuga kuku wa mayai, wale ambao hawaatamii mayai. Hapa utaanza pata mayai na kuyauza. Hivyo utakua unapiga pesa kwenye mayai na kuku.
-Unaweza pia ukanunua na zile mashine za kutotoleshea vifaranga(bei zake ni kama 80k hivi, ila lazima kuwe na umeme unapokaa).
Hitimisho;
-ukianza leo najua baada ya muda kama wa miezi 8 unaanza kupiga hela ya mayai na nyama.
Pesa ulionayo sasa (laki 3) usijidanganye ukaanzisha duka, genge, au biashara za uchuuzi wa mazao au vitu toka mjini upeleke kijijini. Hizo waachie wenye pesa ndefu, ambao ata shoti (hasara) ya laki 5 ikitokea hawayumbi. Wewe hapo ukipoteza/ukipata hasara ya laki 1 tu, kuirudisha daah itachukua muda.
Thanks.
Ila ukitoka kaka nikumbuke, mwenyewe hali mbaya hapa.
Mkuu naomba ufafanuzi zaidi kwenye biashara hii km una uzoefu nayo...Fanya biashara ya kuku wa kienyeji, unaweza kuanza na wachache tu. Mkoani tetea ni buku 7 mpk 9 jogoo kwenye 10 hivi kuna ushuru 200 usafiri elfu 10 na kuna tenga la kuwabebea ukifanikisha hayo bei huku ukiuza mwenyewe unajipangia tu 19-25 kulingana na ukubwa
Malila yupo poa kati ya wapambanaji huyu jamaa n mmoja wapoNdiyo,
Nilianza kwa kununua mayai na baadae kuuza, sasa hivi nina shamba langu mwenyewe.