Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Utaenda kupoteza hela huko, Logistics za kuleta mkaa mjini lazma uwe CON-TAWA! Kuna hela nyingi sana utawaachia Maliasili hapo Road na lazma uwe na vibali vya kueleweka.

Sikukatishi tamaa ila nakupa alert. Hii michongo ya kupeana story vijiweni ishatu cost sana.
mzee mf. nikipata dili la kuletewa mjini kwa 25k/gunia...hii biashara imekaaje?ukiuza rejareja
 
mzee mf. nikipata dili la kuletewa mjini kwa 25k/gunia...hii biashara imekaaje?ukiuza rejareja
huo utakuwa mkaa was Aina gani? Hebu fuata ushauri, mkaa mzuri no kuanzia 35k

Jambo lingine ili uuze mkaa unatakiwa ukajisajili ofisi za Mali asili ada ni 265k
 
Wakuu habarini, kama mada inavyojieleza hapo juu mimi natarajia kurud chuon December ila nina laki 2, nishaurin cha kufanya angalau kabla ya kurudi niwe na kilo, location Mwanza.
 
Mwenyewe ninarudi pia. Tafuta uzi unaanzaje sijui "Kama unaingiza elfu 30 kwa siku...." mwenye link ataweka hapa. Tembea palepale utachomoa kama nilivyotoa idea pale.
 
Karibu ujipatie kutoka kwetu mabalo ya mitumba grade 1 na 2.

Tutakusafirishia mzigo.


Kwa vyuoni biashara hii itakupa na muda wa kufanya mambo mengine ikiwa na muda mwingi wa kusoma.

Wasiliana nami; 0743123946
 
TAFUTA CONNECTION YA KUPATA PHONE ACCESORIES

MAKAVA,EARPHONES,PROTECTERS,FLASH N.K
 
Back
Top Bottom