Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Huku Russia nafaidikaje kwa mfano?[emoji16]
The matter of thinking n living positive

Kufaidika ni lazima uwe hapa nchini, hata ukiwa nje ya nchi kinaeleweka tu. Ni mambo ya connection zaidi.
 
Nilimwelewa Magu....
Uchumi wa nchi na watu uko kwenye infrustructures....
Vingine hivyo sijui demokrasia nini nilikuwa nawasaidia kulia kwa jicho moja[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kufaidika ni lazima uwe hapa nchini, hata ukiwa nje ya nchi kinaeleweka tu. Ni mambo ya connection zaidi.
 
Wakuu, tuwashauri mfunike kombe mwana wa haramu apite! tukianza kumuanika huyo mwenda zake wenu hapa, hamtalala kwa mwaka mzima pengine na zaidi kwa majanga aliyoyasababisha kwa watanzania wenziwe na hata kwa nchi majirani! mnataka salama mkubali tu yaishe...msiendelee kutuchemsha!

Mnajaribu kulazimisha legacy isiyowezekana "why!!"... in Bwege's voice! Legacy hujiandika wenyewe si kitu cha kulazimishana, Mwalimu Nyerere na Maalim Seif ni mfano mzuri, hakuna alielazimishwa kuamini uzuri wao...ulikuwepo tu!!!

Acheni kabisa, Other wise mtaendelea kujigaragaza kwenye uvundo tu!
 
Nilimwelewa Magu....
Uchumi wa nchi na watu uko kwenye infrustructures....
Vingine hivyo sijui demokrasia nini nilikuwa nawasaidia kulia kwa jicho moja[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kama uchumi n i infrastructures, Nyerere na kina Mandela walikuwa wanamsumbulia nini Kaburu Pieter Botha.
 
Acha Tanzania iendelee kuwa maskini kuliko itawaliwe na wapuuzi kama yule alipata.
Binafsi nilifarijika sana kwa kifo chake .asante mungu Kafa
 
Yule kiongozi (rip) alikuwa na akili fupi, ndogo na naamini kazi aliyoiparamia ya urais ilikuwa KUBWA kwake na ndo imemuua. Angekubali kuwa mbunge na wazuri mpaka leo angekuwepo hai.

Siku zote ukiwa na akiri fupi usipende madaraka Mana yatakuangamiza Kama ilivyotokea.
 
Unaongelea apartheid ya Tanzania?
Swali lako lina ni confuse kidogo ...

Ama ubaguzi wa weusi wapi sijui...

Kila taifa lina struggle kwa kilichowazidi....

Wengine dini, wengine drugs...

Kwetu struggle yetu ni tofauti. Umaskini wetu ni zaidi ya demokrasia.. ndio maana mwanasiasa nguli wa TZ akipewa cheo ama mshiko anatutosa... umaskini umefanya demokrasia kuwa na cheap price.

Tafuta mfano mwingine
Kama uchumi n i infrastructures, Nyerere na kina Mandela walikuwa wanamsumbulia nini Kaburu Pieter Botha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…